Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

Ama kwa hakika Yesu anakuja...
 
Hivi niulize wanadoa kwa nini hamgegedani wakati wife yuko period...sii ndio wanasemaga genye kwao ipo juu
joto huwa linakuwa wakikaribia hiyo period, lakin Kumbuka kipindi hicho wanapitia maumivu ya mgongo, kiuno na tumbo, wengine wanakuwa na maumivu makali mno, hata kama una roho ngumu kama Hitler hapo hupigi maana raha ya tendo ushirikiano uwepo
 
Mimi huwa nasema kwenye mambo haya hakuna formula au maelezo ya aina moja ambayo yatafanya kazi kwa namna ileile - iwe kwa wanaume au kwa wanawake. Kuna watu wanawafikisha wake zao kileleni, lakini bado kuna wanaochepuka na hata wakati mwingine hawataki kufanya mapenzi na waume zao. Kuna sababu nyingi - mchanganyiko - zinazofanya wanandoa wawe na hali kama hiyo, mabadiliko ya mood yakiwa moja ya sababu. Kuna watu asubuhi anakuwa na mood tofauti, mchana imeshabafilika, na jioni pia. Hii fluctuation (inayosababishwa pia na hormonal imbalance), ambayo hata kwa mhusika anaona ni kero na hajui namna ya kui' control', ni moja ya sababu ya mtu kukosa hamu na tendo la ndoa - yaani kwamba feelings zake hazipo hapo na hata yeye mwenyewe hajui sababu yake ni nini. Naye angetaka awe tofauti, lakini anajikuta katika hali kama hiyo.
 
Wanaume wengi siku hizi mna shoo mbovu mpaka mnatia uvivu.
Alafu mapenzi sio kuchomeka tu,yawezekana anakuona kama kinyago vile,
 
Bado hujawajua Wanawake japo unadai kua una umri mkubwa ila sisi wakubwa ndio tunawajua vizuri zaidi,mwanamke mjeuri asiyemuheshimu mumewe hua haihitaji sababu ili aonyeshe makucha yake,kama hafikishwi kwanini wasijadili na Mumewe?
Kuna binadamu wabishi,mtu ana changamoto hataki hata muongee ye anadai yuko sawa wakati wewe unaona kuna tatizo.
 
Huyu manzi tu wa nnje kaka sijaoa. Ila ni vitimbi sio poa
kama hujaoa, acha uzinzi, ama la kuna siku utarudi hapa kuomba ushauri mwingine. Mungu anakuona.
Ndio nyie ambao hua mnawaza kua ndoa ni kutiana tu,mawazo ya kijinga sana haya,
Narudia tena kukwambia kua,bado hujawajua Wanawake.
kwani tunalala na wake zako, si wa kwetu shehee, mbona wivu.
 
kwani tunalala na wake zako, si wa kwetu shehee, mbona wivu.
Umeandika ujinga,tena ni nje ya point yangu,au ndio umekurupuka kutoka usingizini?
Niliyemquote ataelewa point yangu coz nilikua najibu hoja yake,wewe pita kule.
 
Huyu manzi tu wa nnje kaka sijaoa. Ila ni vitimbi sio poa
kama hujaoa, acha uzinzi, ama la kuna siku utarudi hapa kuomba ushauri mwingine. Mungu anakuona.
kama hakupi na unamfikisha, jua kuna kitu kinamsumbua moyoni, kinamwondolea hisia. aidha madeni, maumivu fulani linamsumbua. tatua tatizo hilo, ila kama hakuna shida, jua shida ni wewe binafsi.
 
Yesu Anakuja
 
Ndiyo maana nasema hakuna jibu moja kwa wote maana unakuta huyu anahangaika na mambo yake moyoni au pengine ana hormonal imbalance na mwingine vile. Ila sasa sisi tunawaweka wanawake wote "kapu moja" na kwa sababu moja - "kama anasema amechoka au alitoa sababu ABC ujue humtoshelezi" - jambo ambalo si siku zote hivyo.
 
Yalinikuta hayo,
Nilichokifanya niliisusa mazima,
Nikitoka kazini napitia kwa girlfriend wangu napunguza.
Nikirudi home Sina mzuka.
Alianza mwenyewe kuweweseka
 
Mm hili jambo la kupangiwa siku nishakutana nalo enzi za nyuma,, yaan unapangwa kesho ikifika kesho unapangwa kesho tena,halafu kila siku analala na chupi, in short kwa wiki nilikuwa napewa mara moja tu tena kimoja, nilikuja kugundua alikuwa na hormonal imbalance yaan kwake yeye hisia anazisikiaga kwa jirani tu hata umchezee usiku kucha, nimenyonya muno **** yake lakn wapi

Kama mmeoana jaribu kumvumilia, au mdadisi akwambie tatizo ni nn, kama mnatumiaga uzazi wa mpango napo inachangiaga kukosa hisia
 
Tunaanza kutoka kwenye maada ya mwanamke ni chombo cha starehe, sasa mwanaume anataka kua chombo cha starehe
 
Mkuu umenena point.. asante 🫑
 
Asnate mkuu yote nitayafanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…