Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

Umetisha Sana mkuu😂
 
When demand is higher supply huw low

Tafuta chaka sahau
 
Mleta mada Kuna uwezekano mkubwa shoo yako Ni mbovu Sana kitandani ndo maana mke anakususia

Nyie Ni wale wa dakika mbili wazungu hawa hapa na ikishalala ndo imetoka hiyo haiamka tena.

Nakushauri badilisha lifestyle yako bro uwe unapiga shoo za kibabe.
Fanya mazoezi( haswa ya kegel), kunywa maji kwa wingi na punguza kula vyakula vyenye mafuta mengi
 
Sio kila siku tena jamani sasa raha ya ndoa iko wapi
Kiongozi mzabzab mambo ni mengi, kuna kipindi nafasi ya kutosha inakuwepo inapigwa derby ya kariakoo karibu kila siku, kuna muda majukumu yako au yake au nyote Kwa pamoja yanawazidi mnaahirisha pambano.

Kuna ulezi wa watoto, baba kubanwa na kazi baadhi ya nyakati, ugonjwa na mengine mengi.

Ndoa si LELEMAMA
 
MKUU POLE HATA MIMI HIYO INANIKUTA KUNA DEMU WANGU MMOJA NIKIOOMBA SHOO UTASIKIA NITAKWAMBIA MPAKA YEYE APATE NAFASI TOFAUTI NA ZAMANI ITS MEANS HUYO ANA RATIBA NA WENGINE.ISHI NAYE KWA AKILI WANAWAKE NI KIUMBE CHA AJABU SANA HUBADILIKA KAMA KINYONGA
 
Kama vipi na wewe endelea na mishe zako usiomuombe wala nini...Ukiona na yeye ana mishe zake basi ruhusa kutafuta mwanamke mwingine nje maisha yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…