Mada zinabadilika:
kutoka hawawezi kutekeleza miradi ya jpm;
kutoka wanaihujumu kwajuwa hawampendi jpm;
kutoka hawana uwezo wa fedha;
kutoka wezi;
kutoka watu wa madili;
kutoka wauza majenereta;
Na sasa zamu ya habari ya kupigiwa makofi mama jpm na jpm mwenyewe.......hahahahahahahaha!
Go Makamba, go!!!
Endelea kuwatwisha mindoige ya ukweli bila kuwajibu matusi yao, kama ulivyosema jana, hadi akili ziwakae sawa!!
Go mama Samia, go!!
Endelea kuimalizia miradi yooote bila kujali ni vipi wanakutukana na kutamani ushindwe.......wami tayari na mengine kibao tu, lakini wapo kimyaaaaaaaa, kama wakiongea basi hujifanya kumtaja jpm muda wote kwa lengo la kukukatisha tamaa au labda eti uchukie (kwa lipi haswa kwani?!!!). Mama wa watu uko bardiii; kumchukii mtu wala hauna muda nao.
Alisema msanii wa bongo flavour, professor j, kuwa ili ufanikiwe unahitaji maadui zaidi.........Acha maadui a.k.a wachawi waibuke zaidi na watendee mema tu.