Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

Unaogopa balaa.
Moyo unakudunda balaaa.
Kufa nyau wewe.
MBONA UMETAJA CHADEMA TU NA NCHI INA VYAMA 22, ITAKUTOA ROHO.
 
View attachment 2048356
Chama chochote cha siasa kukamata dola lazima kikubalike kwa umma. Ili kikubalike lazima kiwe na sera nzuri, jambo ambalo Chadema inakosa.
Mbona uko kama una hamu ya kuugua magonjwa yasiyoambukiza? Unaonaje ukiwaachia hao wananchi ndio waje waseme?
Yaonekana kama vile u mgumu sana kujifunza na kuelewa. Hivi mpaka sasa huoni kuwa sauti zao ndio zitanoga na zitaleta faraja kuliko zenu? Sauti za NEC, ma DED, Mapolisi na wengine mliyojaliwa kupata fadhila za kuteuliwa na 'mgombea wa CCM' kwa sasa hazina mvuto tena.
 
View attachment 2048356
Chama chochote cha siasa kukamata dola lazima kikubalike kwa umma. Ili kikubalike lazima kiwe na sera nzuri, jambo ambalo Chadema inakosa.
View attachment 2048356
Chama chochote cha siasa kukamata dola lazima kikubalike kwa umma. Ili kikubalike lazima kiwe na sera nzuri, jambo ambalo Chadema inakosa.
Tume huru sio kwaajili ya Chadema kushika dola. Ni ili tuweze kuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, I'll hatimae tuweze kupata viongozi ambao kweli wamechaguliwa na wananchi.
 
Mleta hoja nilifikiri umeweka research kdg uliyofanya ili ku-support hoja yako kumbe ni umbea wa jinsia yako ya kike ndio ilikusukuma!
Hata wanawake wenzio walishaachana na umbea siku hizi wanakuja na facts!
 
View attachment 2048356
Chama chochote cha siasa kukamata dola lazima kikubalike kwa umma. Ili kikubalike lazima kiwe na sera nzuri, jambo ambalo Chadema inakosa.
Suala la kushika dola halikuhusu, kura niitoayo kwa upinzani itambulike, ihesabiwe, isiibiwe, na hayo yanawezekana sio kwa tume hii. Umuhimu kwa kura yangu upinzani, uenda ikafikia kiwango cha kuwezesha kupata ruzuku ili kijiendeshe. Kitendo cha kuiba kura si kuiba tu ushindi wao washindapo bali upora ruzuku ambayo ni stahili ya upinzani!
 
Umejaa hofu na ujinga
 
Si muwape hiyo tume huru ya uchaguzi haswa polisi wasiingie kwenye vyumba vya kupigia wala kujumlisha matokeo, na matokeo yote yabandikwe kwenye vituo muone kama hamjalia saa 12 jioni ya uchaguzi
 
Tunataka KATIBA MPYA KWANZA TUME HURU NI ZAO LA KATIBA MPYA
 
... madaraka sio lazima sana, hata uwakilishi wenye mizania bungeni na kwenye halmashauri zetu nayo ni HATUA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…