Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mtu aliyesoma Mass Communication ndio anaandika PUMBA hivi?

Mtu anayeandika matusi ni yule aliyekosa Hoja za maana na za msingi

Hana tofauti na watoto wa mtaani waliokosa malezi mazuri

Hao Lecturers wake inabidi tuwahoji
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
sema na wao walikua wanawapanga vidume bila hata wao kujijua, enzi zile walikua wanakutana na vidume walugaluga wengi wanawapanga tu na ukiwakuta kwenye thread zao unajua watu wa maana kumbe watembeza papa tu,,,,,baada ya vijana wa ovyo kuanza kuwalamba na kuweka siri zao humu wengi wakakimbia au kubadili i.d
 
Jf ya kpnd hiki na miaka kurudi nyuma hadi 2012 ndo ilikua jf, nakumbuka hata admin wa rahatupu blog alikuaga na account humu, mdada fln hv nmesahau jina lake. Kulikua kuna utofauti kati ya wakubwa na wadogo, sikuhizi wote ni humohumo
Alikuwa Nancy Mitisa.
Sasa hv kabadili user name....anatumia ingine, ila tuko nae humu Jf Teslarati
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…