Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Sani ndo gazeti nililokuwa napenda kusoma na limenisaidia sana nikawa naweza kusoma haraka bila kukwama kwama nikiwa darasa la kwanza
Walikuwa wajinga wale. Kwa mwezi lilikuwa linatoka ×1. Harafu eti wanatoa stori nzuuuri hawaimalizii wanasema itaendelea toleo lijalo.
 
Kama namuona Zembwela na Mashaka!
 
Translation " baba yake chale ana viraka viwili vinaulizana umekuja lini, nimekuja Jana nikashinda leoooooooo" kale ka beat ya wimbo kipindi cha michezo RTD sijui kama kale ka beat bado kapo
Mm ninako kinaitwa cotton candy
 
Pampula na kishoka bila kumsahau Baba ubaya ndugu yake kaisi wazee wa valangati. Toto kijiwe stick mzee wa kata kei ya magotini. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pampula mda wote kalewa. Toto kijiwe stick alikua na baba ake anaitwa ndondocha, like father like son
 
Acha bag

Acha bange wewe
 
Lile la bi Gladys wa OMO
Kuna Bi. MWAJUMA
yule Mzungu anasema "Omo ni nzuri sana, ahaaah..ni nzuri sana sana"
 
Buzz ni bomba, kuwa mjanja. Pata buzz

Tritel..the better choice
Vodacom: the people's voice, the peoples choice

Celtel; making life better
 
Nani anakumbuka kile kiclip kabla ya kipindi cha jiji letu ITV, kuna jamaa anajikuna
 
Na leo sikukuu nimekumbuka tangazo la 'Serengeti serengeti' lichui linatamba
 
Mm nakumbuka kuna mafuta ya mgando ya kupakaa yalikuwa kwenye chupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…