Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

This is RFA RFA kutoka Mwanza Tanzania...........iliskika sauti flan hv nzito then inakuja sauti nyingine ya kelele ikisema........ Mwaka 2000 .......Old is Gold
 
Masahihisho: Siyo 'Levora' ni 'REVOLA' ambayo ilikuwa ni aina ya sabuni kama Lux, Gardenia na Lifebuoy
 
Gazeti la mfanyakazi. Halafu hapo ifike game ya simba na yanga walikuwa wanaremba balaa! Mechi ya bush star na born town gazetin yani nlikuwa napata hisia km mechi ya kweli vile.
Gaseti la sani
 
Gaseti la sani
Dah tangazo la HIV linaannza milango ya kanisa inafunguka huku wimbo wa majonzi unapigwa halafu pale madhabahuni mtoto anabatizwa huku kuna ndg kadhaa na ndg mmoja nadhan ndio alikuwa ameathirika sijui
 
Chai bora. kilele cha ubora, chai bora ni majani ya Tatepa, iwe na maziwa isiwe na maziwa.....
 
Kuna lingine la air Tanzania, Kilimanjaro... Kilimanjaro
 
Baiskeli ni sunshine(lafudhi ya kisukuma).
 
Poa kk ngoja nikukumbushe tangazo ulilopigwa kofi na mzazi wako(pole lkn)[emoji1] [emoji1] lilikuwa linaimba hivi ngoja nikukumbushe.

Nakupenda mpenzi wanguu
Nakupenda kwa vitendoo
Nimekupa moyo wanguu
Nitakulinda na kinga.
Naukumbuka huu wimbo wa tangazo
 
Kuna lile la bia ya kibo gold ....kibo gold yaone maisha ktk mwanga boraa...nilikuwa nawaza Sana naonaje maisha kwenye kunywa pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…