Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Mama aliita ''Baba kichonge!!!

Mtoto kichonge akajibu '' Baba anaoga Mama''

Mmm! mbona kina ng'aaaa!

Baba akajibu '' yaani kama taa'' wakaishia hapo......

Swali lilikuwa gumu mpaka leo! na hakuna aliye wahi jua. alimaanisha ni kipara gani kina ng'aa wakati Baba kichonge anaoga ! na ukizingatia vipara viko vingi kama.....

Yule mrembo wa Revola ndo nimemuoa mimi niko nae hapa anachekaaaa..... je ni Revola peke yake '' ndiyo kwani huniweka fresh mchana kiuttwaa''....
 
kuna kale kawimbo kazamani sn.."waatotoo wasafi moyoniiii.....na mungu mwenyeezii" nikumbusheni wadau..
 
Pole mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna tangazo la bia ya tusker aliimba T.I.D sijui yule, nalitafuta sana. Nikilipata ntaliweka hata ringtone. Achana na lile la wakenya
 
Omariiii kwanini unajikuna ngwara ngwara....tumia protex....

Chaibora kilele chaibora........

Hapo tv antena mwiba wa samaki mchelemchele kama wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…