Kama hilo tangazo lilikuwa linakukuta nyumban bas ww ulikuwa unachapwa namba maana lilikuwa linawejwa 7:20 weekdays au ulikuwa dalasa la 2Kuna lile la redio tanzania,ilikiwa asubuh utasikia jambo...sijambo jirani,hamjambo africa mashariki hatujambo...saaafi sana unajianda kwenda skuli umejipaka rays huna shida na mtu
Kutumia kibuku ni pombe bora. Lilikuwa ni tangazo la biashara katika kipindi cha mchezo wa redio RTDMambo vipi wanajamii.
Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa yule binti ni mtoto wa tajiri Mengi.
Tangazo la Pili ni la chai jaba. Nadhani kama Diamond platnum angekuwa anafanya muziki kipindi kile wangempa hii a.k.a "Chai jaba" .
Kwa aliye na Video ama audio ya matangazo haya atuwekee hapa tujikumbushie na pia kama unayakumbuka matangazo mengine yaliyovuma enzi zile hebu tutajie hapo chini
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
Mkuu nimekukubali unakumbukumbu. Nzur sana
Kiwi iyohebu jitokeze simama mbele ya watuuu
mgongo wangu waniuma maumivu tele...
Ckuwah kusikiliza hich kipindi had mwisho pamoja na kuwa nilikuwa nakisubir kwa ham kikianza tu mm nasinziaKutumia kibuku ni pombe bora. Lilikuwa ni tangazo la biashara katika kipindi cha mchezo wa redio RTD
Hah hah hah hah, pole sana mkuu. Mimi nilikuwa silali mpaka nimsikie mzee Jangala na mwanae MshamuCkuwah kusikiliza hich kipindi had mwisho pamoja na kuwa nilikuwa nakisubir kwa ham kikianza tu mm nasinzia
Haha ata mim nlitaka kusema hvyo nlikua nalipenda sana ili tangazoUmenikumbusha tangazo la rosheni ya JAMBO kuna jambo kubwa,jambo ndogo na JAMBO KATIKATI[huyu ndo alikua ananifurahisha]
Hata mm nlikuwa natama nakaa had saa 3 na nusu alafu 3minutes letter nakuwa nakoloma ila nakuwa walau nmesikia sauti ya mzee munduHah hah hah hah, pole sana mkuu. Mimi nilikuwa silali mpaka nimsikie mzee Jangala na mwanae Mshamu
Kwani lazima kila mtu asome? Waliosoma wenyewe hawahitajiki, wapo kibao watatosha. Mi nilidhani unasema wote wenye sifa wamenyimwa nafasi.Wanafunzi walioomba kujiunga na Elimu ya Juu wengi wamekosa nafasi.. Halafu unatuletea habari za Chai Jaba
Dawa ya maumivu dawa yenye nguvu dawa ni dawa nolhebu jitokeze simama mbele ya watuuu
mgongo wangu waniuma maumivu tele...
Sanifu gazeti pendwa sana enzi zile, hasa kwa watu tuliokataa kukua.Sanifu.
Kuna akina Tolu Mnyama, Bingwa wa Rivasi.
πππππHata mm nlikuwa natama nakaa had saa 3 na nusu alafu 3minutes letter nakuwa nakoloma ila nakuwa walau nmesikia sauti ya mzee mundu
Ha ha haaaaa.Kuna lile la redio tanzania,ilikiwa asubuh utasikia jambo...sijambo jirani,hamjambo africa mashariki hatujambo...saaafi sana unajianda kwenda skuli umejipaka rays huna shida na mtu