Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboko ya UchafuNipeni nguo nifueeeeh, KOMOA, nipeni vyombo niosheeeeh KOMOA
Mimi ni Maimuna.................Mambo vipi wanajamii.
Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa yule binti ni mtoto wa tajiri Mengi.
Tangazo la Pili ni la chai jaba. Nadhani kama Diamond platnum angekuwa anafanya muziki kipindi kile wangempa hii a.k.a "Chai jaba''.
Kwa aliye na Video ama audio ya matangazo haya atuwekee hapa tujikumbushie na pia kama unayakumbuka matangazo mengine yaliyovuma enzi zile hebu tutajie hapo chini.
Ahaha hii wakat wa igizo la kaole sikumbuki ilikua itv au tvtMimi naitwa jambo kubwa je wewe unaitwa nani.. Mm naitwa jambo katkat na wew jee.. Mm naitwa jambo ndogo.. Ifanye ngozi yako nyororo lain yeny afya kwa kutumia jambo losheni yenye vitamin... Jambo ni losheni yako kwa wakat wote na kwa familia yako.. Nunua sasaaa
sanifu kulikuwa na kiboko yao KISHOKA a.k.a bingwa wa kusahauSanifu.
Kuna akina Tolu Mnyama, Bingwa wa Rivasi.
Bila kumsahau hayati mzee jongoHah hah hah hah, pole sana mkuu. Mimi nilikuwa silali mpaka nimsikie mzee Jangala na mwanae Mshamu