Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Hivi kumbe watoto wa shule ya msingi mmejaa humu..!
 
Kale ka beat huwezi amini ninacho na ndio ringtone ya simu yangu..kila nkipigiwa simu naona wazee wananiangalia[emoji3] [emoji28] [emoji3] na kale ka Majira ninacho pia
Mkuu nisaidie hizo beat dah gone are the days
 
"Karibuni, watotooo wote
Kuwa nasi, Kipindi cha watotooo
Msikose kipindiii cha watotoo
 
Katika kipindi cha jambo, ndugu wazazi na marafiki katka kipindi cha jambo.



Saa tisa mchana,

Shambani shambani ,mazao bora shambani


Saa moja jioni
Ezekiel malongo beki wa kupanda na kushuka.
Haya twendeni shambàaani[emoji443][emoji443]
Wananchi tukaliiiiiiiiime[emoji443][emoji443]
Tusikae mitaani-taaaaniiiiii[emoji443][emoji443]
.....
Ilikuwa safi sana hii, ndio nilikuwa natoka shule pale Meru Primary mida ya saa tusa mchana njaa inachapa kishenzi.
 
Kibuku oyeee hongera hongera!! Mchezo wa kina jangala,jongo na kina kidawa!
[emoji445] [emoji445] Tumieni kibuuuku ni pombe boraaaaa,[emoji445] [emoji445] tumia kibuku ni pombe booora, [emoji445] [emoji445] tumia kibuku ni pombe booora[emoji445] [emoji445]
 
Hahahahahaha Umeua kaka
 
Kk sukari, sukari kijiko kimoja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…