Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa 90's hilo haliwahusu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo vipi wanajamii.
Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa yule binti ni mtoto wa tajiri Mengi.
Tangazo la Pili ni la chai jaba. Nadhani kama Diamond platnum angekuwa anafanya muziki kipindi kile wangempa hii a.k.a "Chai jaba''.
Kwa aliye na Video ama audio ya matangazo haya atuwekee hapa tujikumbushie na pia kama unayakumbuka matangazo mengine yaliyovuma enzi zile hebu tutajie hapo chini.
Naomba unitumie plizKale ka beat huwezi amini ninacho na ndio ringtone ya simu yangu..kila nkipigiwa simu naona wazee wananiangalia[emoji3] [emoji28] [emoji3] na kale ka Majira ninacho pia
Katika kipindi cha jambo, ndugu wazazi na marafiki katka kipindi cha jambo.Kuna lile la redio tanzania,ilikiwa asubuh utasikia jambo...sijambo jirani,hamjambo africa mashariki hatujambo...saaafi sana unajianda kwenda skuli umejipaka rays huna shida na mtu
Safari asili yake ,nchini Tanzania, safari moja uanzisha nyingine.Bia ya safari tangazo lao lile la mwanzo wale wamasai [emoji23][emoji23]
Kaka naomba unitumie hako ka beat, nimekasaka sanaKale ka beat huwezi amini ninacho na ndio ringtone ya simu yangu..kila nkipigiwa simu naona wazee wananiangalia[emoji3] [emoji28] [emoji3] na kale ka Majira ninacho pia
Duu!![emoji1]Nipeni nguo nifueeeeh, KOMOA, nipeni vyombo niosheeeeh KOMOA