Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

chaiiiii bora kileleeee cha uboraaaaaaaaaaa chai bora inachangamshaaaaaaaaaaaaa
 
Omaaari kwa mini unajikuna ngwara ngwara..ngwara ngwara.,..mwisho anamshauri atumie sabuni ya protex
Tangazo chain bora...chain bora kilele chain boraaa
 
Nakumbuka tangazo fulani la maji miaka ya 2000,,,jamaa anavisha condom chupa ya maji..
 
Mie nalipenda lile tangazo la jambo lotion

Mimi naitwa jambo ndogo Na Mimi naitwa jambo kubwa Na ule mziki wake ulikua unanikosha at that time nlikua teenager watu wakibadili channel wanikera hadi nakasirika lol
 
Mambo vipi wanajamii.

Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa yule binti ni mtoto wa tajiri Mengi.

Tangazo la Pili ni la chai jaba. Nadhani kama Diamond platnum angekuwa anafanya muziki kipindi kile wangempa hii a.k.a "Chai jaba''.

Kwa aliye na Video ama audio ya matangazo haya atuwekee hapa tujikumbushie na pia kama unayakumbuka matangazo mengine yaliyovuma enzi zile hebu tutajie hapo chini.
Vijana wa 90's hilo haliwahusu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mshindi sabuni mpya yenye nguvu yenye kutakasa kuliko zote mshindi eeeee
 
Kuna lile la redio tanzania,ilikiwa asubuh utasikia jambo...sijambo jirani,hamjambo africa mashariki hatujambo...saaafi sana unajianda kwenda skuli umejipaka rays huna shida na mtu
Katika kipindi cha jambo, ndugu wazazi na marafiki katka kipindi cha jambo.



Saa tisa mchana,

Shambani shambani ,mazao bora shambani


Saa moja jioni
Ezekiel malongo beki wa kupanda na kushuka.
 
Mie labda litakalo nijia kichwani ni FIDODIDO
 
Kale ka beat huwezi amini ninacho na ndio ringtone ya simu yangu..kila nkipigiwa simu naona wazee wananiangalia[emoji3] [emoji28] [emoji3] na kale ka Majira ninacho pia
Kaka naomba unitumie hako ka beat, nimekasaka sana
 
Back
Top Bottom