Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likikuwa linaitwa BongoKuna gazet moja la picha walikuwa wanatoa sana historia ya kifo cha 2pac kwa njia ya michoro....
Hapana ni jarida la Bongo, lililuwa kama opponent wa SaniJarida la Sani
[emoji445]Nikufananishe kama jabaliiii..... Majirani zetu wanashangiliaa....... Oh oooh mimi na wewe milele ...... Wingi na umoja wetuuu...... Tu marafiki halisi..... Bia boraaaaa Tusker, Tumarafiiiiiki halisi [emoji445]... Sauti ya TID ile alitisha sana.Kuna tangazo la bia ya tusker aliimba T.I.D sijui yule, nalitafuta sana. Nikilipata ntaliweka hata ringtone. Achana na lile la wakenya
Hapana lilikuwa tangazo la bia ya serengetiTwende pamojaaaa...... bega kwa begaaa.....
Marafiki wa kweliii.........
Nadhani ni tangazo la TTCL kama sijakosea.
2004 nimemaliza darasa la sabaNipe shikamoo yangu haraka...
2004 nipo darasa la 3
Eti kiustadi kabisaMimi nalipenda lile Tangazo la Kuhimizana Kuvaa na Kutumia 'Condoms' vizuri pale 'Mkuyenge' ukiwa unatirirka Kiustadi kabisa 'Mbunyeni' Mkuu.
Lilikua linaitwa TabasamuKuna gazet moja la picha walikuwa wanatoa sana historia ya kifo cha 2pac kwa njia ya michoro....
Hahahahaaa... Umenikumbusha ka wimbo ka tangazo la Sukari KK!Safari ni safari Lile la Safari Lager
KK SUKARI NI SUKARI KIJIKO KIMOJA
COWBELL OUR MILK...
Nilikuwa napenda sana haka kawimbo.... Hahahahaaa....Tangazo la ISHI..usione soo sema nae kuhusu kusubirii kuwa mwaminifu au kutumia kondoooom
Nilikuwa namkubali sana Zumo... Mzee wa kupiga miwani tinted... Na tisheti kali, anachomekea kwenye jinzi... Lile gazeti nimelimisi sana.Bila kuwasahau maharamia Zumo na Mzee Ole...! Sijui ana Mzee Ole ana undugu na 7ya [emoji5]
Wanafunzi walioomba kujiunga na Elimu ya Juu wengi wamekosa nafasi.. Halafu unatuletea habari za Chai Jaba
Jambo ndogo,jambo kubwa na jambo katikatiMambo vipi wanajamii.
Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa yule binti ni mtoto wa tajiri Mengi.
Tangazo la Pili ni la chai jaba. Nadhani kama Diamond platnum angekuwa anafanya muziki kipindi kile wangempa hii a.k.a "Chai jaba''.
Kwa aliye na Video ama audio ya matangazo haya atuwekee hapa tujikumbushie na pia kama unayakumbuka matangazo mengine yaliyovuma enzi zile hebu tutajie hapo chini.