Mnamkumbuka nancy mitikisiko na blog yake, ila ujana🤣, ni maji ya moto aisee!

Mabaharia na walisoma tel aviv ndio watajua namaanisha nini😁

Yule mumaa sijui aliishiaga wapi aisee maana bongo hasikiki tena
Nancy mitisiko wa rahatupu ni mange kimambi alikuwa mmliki wa hiyo blog na nyingine ikitwa the uturn ya umbea 2009 to 2014

Blog ya raha tupu moja kazi maarufu bÄŗog ilikuwa kazi ya kina nsia swai kutoka sauti picha za kina nsia swai ziliweka kwa mara kwanza rahatupu chini ya nancy mitikisiko aka mange kimambi mwenyewe

CIMG4319.JPG
 
View attachment 3432429
Kumbe mmiliki alikuwa Mange?
 
Back
Top Bottom