Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
Inawezekana blog ya raha tupu kwamba ni mange ila mange kimambi aliwahi kiri kuimiliki blog ya ZE UTAMU BLOG pia.
Mzee una kaza fuvu tu Rahatupu haikua na uhusiano wowote na MangeMange alikuwa ana operate blog mbili kwa mpigo huku rahatupu kajiita nancy kulet u turn aliendelea kujiita mange so the uturn na rahatupu alikuwa ni mtu mmoja anaitwa mange kimambi aka nancy alijiita nancy kujificha tu
Yule pelos alikuwa anataka kuandika historia ya kuuawa na wachina.Mnasungumzia Nancy pelos aliyeingia Taiwan kibabe mithili ya mtu anayetaka kujiua au