Hapana raha tupu sio mange kimambi.....
Wengi wanachanganya maana baada ya dada Nancy kuingiza biashara sokoni na zikakubalika mange kimambi a.k.a muke ya mzungu akakabia kwa juu biashara na kuwa supplyer mkuu. Na mange ndio akaanzisha mpaka madarasa ya kutumia dildos na vibrators na wanafunzi wake asilimia tisini walikuwa ni hawa wamama wenye heshima zao serikalini..,
Baadae dada Nancy aliacha,,, na mange baada ya kuanzia vita na mwamvita makamba na kina Abdul na wengine wengi akaacha kutoa hizo huduma.
Baadae dida mchops / shaibu akawa kinara wa kuuza vitu hivyo kwa mishangazi ya kinondoni na pande zote za uswahilini huku akitoa mafunzo