claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 317
- 480
Ndo yule alikua na blog la rahatupu?
Pole sana uliyeharibikiwa ni wewe.... Pili ni haki ya kila mwanamke kufika kileleni, kumwaga maji.........Kumbe mmeanza kuharibikiwa muda mrefu. Cha ajabu leo hii Mange anaonekana ni mpigania haki wakati naye ame play part kubwa ku spoil hii society
Hapana Mimi si huyo Mimi ni Leo dadaUelewa wako kuhusu info za kitaa hasa za siku za nyuma nakufananisha na member mmoja humu Jf wakuitwa #Mrangi.
Mange alikuwa ana operate blog mbili kwa mpigo huku rahatupu kajiita nancy kulet u turn aliendelea kujiita mange so the uturn na rahatupu alikuwa ni mtu mmoja anaitwa mange kimambi aka nancy alijiita nancy kujificha tuHapana raha tupu sio mange kimambi.....
Wengi wanachanganya maana baada ya dada Nancy kuingiza biashara sokoni na zikakubalika mange kimambi a.k.a muke ya mzungu akakabia kwa juu biashara na kuwa supplyer mkuu. Na mange ndio akaanzisha mpaka madarasa ya kutumia dildos na vibrators na wanafunzi wake asilimia tisini walikuwa ni hawa wamama wenye heshima zao serikalini..,
Baadae dada Nancy aliacha,,, na mange baada ya kuanzia vita na mwamvita makamba na kina Abdul na wengine wengi akaacha kutoa hizo huduma.
Baadae dida mchops / shaibu akawa kinara wa kuuza vitu hivyo kwa mishangazi ya kinondoni na pande zote za uswahilini huku akitoa mafunzo
Huu ni utetezi wa hovyo kuwahi kutolewa tangu huu mwezi umeanza.Pole sana uliyeharibikiwa ni wewe.... Pili ni haki ya kila mwanamke kufika kileleni, kumwaga maji.........
We endelea kupiga kelele
Na kuhusu anayofanya mange alishaeleza kwa anafanya hivyo.
Pia anachofanya kinasapotiwa na hao hao huko juu na ndio maana anaweza kupata taarifa ambazo wewe huwezi so tulia.
Umeichambua vizuri sana mkuu.Hapana raha tupu sio mange kimambi.....
Wengi wanachanganya maana baada ya dada Nancy kuingiza biashara sokoni na zikakubalika mange kimambi a.k.a muke ya mzungu akakabia kwa juu biashara na kuwa supplyer mkuu. Na mange ndio akaanzisha mpaka madarasa ya kutumia dildos na vibrators na wanafunzi wake asilimia tisini walikuwa ni hawa wamama wenye heshima zao serikalini..,
Baadae dada Nancy aliacha,,, na mange baada ya kuanzia vita na mwamvita makamba na kina Abdul na wengine wengi akaacha kutoa hizo huduma.
Baadae dida mchops / shaibu akawa kinara wa kuuza vitu hivyo kwa mishangazi ya kinondoni na pande zote za uswahilini huku akitoa mafunzo
Kumbe Dada na wewe una mafaili?Hapana raha tupu sio mange kimambi.....
Wengi wanachanganya maana baada ya dada Nancy kuingiza biashara sokoni na zikakubalika mange kimambi a.k.a muke ya mzungu akakabia kwa juu biashara na kuwa supplyer mkuu. Na mange ndio akaanzisha mpaka madarasa ya kutumia dildos na vibrators na wanafunzi wake asilimia tisini walikuwa ni hawa wamama wenye heshima zao serikalini..,
Baadae dada Nancy aliacha,,, na mange baada ya kuanzia vita na mwamvita makamba na kina Abdul na wengine wengi akaacha kutoa hizo huduma.
Baadae dida mchops / shaibu akawa kinara wa kuuza vitu hivyo kwa mishangazi ya kinondoni na pande zote za uswahilini huku akitoa mafunzo
Niishie hapo lakini kaa ukijua ni watu wawili tofauti.....Mange alikuwa ana operate blog mbili kwa mpigo huku rahatupu kajiita nancy kulet u turn aliendelea kujiita mange so the uturn na rahatupu alikuwa ni mtu mmoja anaitwa mange kimambi aka nancy alijiita nancy kujificha tu
Kidogo sana.Kumbe Dada na wewe una mafaili?
Wewe tena š¤£Hivi Nancy ndio alifundisha mishangazi kutumia zile vibrator
+ MkorogoNdio mkuu
Alafu maimartha wa jesse yeye ndio wa kwanza kutambulisha dawa za kuongeza shepuš¤£š¤£
Vijana wa wabichi wa JF hawataelewa haya
i
Kawaida si unajua wadada wa zamani tulikuwa tunajuanaUmeichambua vizuri sana mkuu.
Kumbe kitambo kwenye gemu.
Kmmk ššš¤£šNancy Mitikisiko ni Mama yangu, mkimwandika naumia sana moyo
Wamezopiga ban š¤£Huyu dada, mume, watoto wake wakionaga zile picha sijui huwa wanamuonaje?
Alafu mbona hizi sites za wakubwa siku hizi zinazingua ukitaka kuburudisha macho?
Kwani mi nani mpaka nikose habari jamani......Wewe tena š¤£
Mwendazake alituharibia sana wakati ule, ile blog ilikuwa moto kweri kweri. Namkumbuka panga la shaba wadau walikuwa wanashusha video za hatari.Mabaharia na waliosoma tel aviv ndio watajua namaanisha niniš
Yule mumamaa sijui aliishiaga wapi aisee maana bongo hasikiki tena
Ulikuwa unajitahidi sana mkuu, ulitumia nusu ya muda tu wakati wengine tulikuwa tunaacha dakika Tano tu za matumizi mengine katika lisaa Huku 55 zote tukiwa tunajivinjari worldsex, Raha tupu na maeneo mengine?!!!!Unaingia Internet cafe unatafuta angle nzuri ya kuangalia mapilau, nusu ya mda unautumia kuangalia blog ya Mitikiso.
ššSisi haituhusu kama ni mama yako jua tumemlomba kwaiyo sisi ni baba zako
Ungejua alikuwa anafanya nini si utajiuaNancy Mitikisiko ni Mama yangu, mkimwandika naumia sana moyo
Blog sizimeuliwa na nguvu ya social network kipindi hicho blog ndio ilikuwa habari ya mjini haswaaHivi wamiliki wa blogs waliendaga wapi? Kuna kipindi blogs zilitamba sana miaka ya mwanzoni mwa 2000.