Mnamkumbuka nancy mitikisiko na blog yake, ila ujana🤣, ni maji ya moto aisee!

Nancy mitisiko wa rahatupu ni mange kimambi alikuwa mmliki wa hiyo blog na nyingine ikitwa the uturn ya umbea 2009 to 2014

Blog ya raha tupu moja kazi maarufu bÄŗog ilikuwa kazi ya kina nsia swai kutoka sauti picha za kina nsia swai ziliweka kwa mara kwanza rahatupu chini ya nancy mitikisiko aka mange kimambi mwenyewe

View attachment 3432429
Guuguu.
 
Kwa mapicha yaliyo kuwa yanatumwa kule raha tupu kipindi hiko ni ngumu kuamini kuwa kuna watu ni mashoga hadi leo hii.

Ile blog ilikuwa balaa inafanya chaputa wapate wanachama kila sekunde
 
Nancy mitisiko wa rahatupu ni mange kimambi alikuwa mmliki wa hiyo blog na nyingine ikitwa the uturn ya umbea 2009 to 2014

Blog ya raha tupu moja kazi maarufu bÄŗog ilikuwa kazi ya kina nsia swai kutoka sauti picha za kina nsia swai ziliweka kwa mara kwanza rahatupu chini ya nancy mitikisiko aka mange kimambi mwenyewe

View attachment 3432429
Natazama hilo guu :AMOGUS:
 
Kwa usimuliaji huu, umeshafika umri wa kutoa laana sasa Mjukuu (kidding)😜

Kwa kweli maisha yameenda kasi sana, eti hawa mashangazi saivi ndiyo waheshimiwa wetu now šŸ™ŒšŸƒšŸƒ
Babu tulia..... Mara moja moja tunashare story kama hizi sio mbaya.
 
Utafanya tuanze kukumbukia mambo ya Mwaka 47 Ujue 😜

Experience ndiyo ina matter Mjukuu, ndiyo maana kwenye ajira wanataka uzoefu šŸ¤—
 
Mambo 47 nikiyakumbuka najikuta tu nacheka natabasamu yaani !!!!??!

Experience muhimu Sanaa!!! Si unaona wadogo zetu wanateseka buree ....kila siku nyuzi za malalamiko ya wanawake wakati uchawi wanao wenyewe.
 
Nancy mitisiko wa rahatupu ni mange kimambi alikuwa mmliki wa hiyo blog na nyingine ikitwa the uturn ya umbea 2009 to 2014

Blog ya raha tupu moja kazi maarufu bÄŗog ilikuwa kazi ya kina nsia swai kutoka sauti picha za kina nsia swai ziliweka kwa mara kwanza rahatupu chini ya nancy mitikisiko aka mange kimambi mwenyewe

View attachment 3432429
Acha uongo.
 
Mambo 47 nikiyakumbuka najikuta tu nacheka natabasamu yaani !!!!??!

Experience muhimu Sanaa!!! Si unaona wadogo zetu wanateseka buree ....kila siku nyuzi za malalamiko ya wanawake wakati uchawi wanao wenyewe.
Hahaha..............Mwaka 47, those were days šŸ¤—

Siku moja moja uwe unawapa Shule "madogo" kuhusu mahusiano

Waambie wakumbuke msemo wa memba mwenzetu "...hayanaga mwongozo.."šŸ˜…
 
Mange alikuwa ana operate blog mbili kwa mpigo huku rahatupu kajiita nancy kulet u turn aliendelea kujiita mange so the uturn na rahatupu alikuwa ni mtu mmoja anaitwa mange kimambi aka nancy alijiita nancy kujificha tu
Uongo.
 
Back
Top Bottom