Hakika Mjukuu, ukiwa tayari nitakupa desa la kuwafundishia VijanaTuko pamoja na tutaendelea kuwapa elimu.
Na ukweli ni kwamba hayanaga muongozo.
aliifunga baada ya sheria za mitandaoni kupitishwaRaha tupu ilitikisa sana enzi hizo, hivi hii blog bado ipo?
Nasubiri babuHakika Mjukuu, ukiwa tayari nitakupa desa la kuwafundishia Vijana
Babu yako nina ujuzi wa Mwaka 47 ujue š¤
š¤£Nancy Mitikisiko Salamba
ššš
Nokia xpress music the goatWay back,,,, nilikuwa na kanokia kangu express music, naweka bando nazama opera mini!
Nancy alikuwa wa moto sana ,,,,,, !
Malkia nono, unamkumbuka šMwendazake alituharibia sana wakati ule, ile blog ilikuwa moto kweri kweri. Namkumbuka panga la shaba wadau walikuwa wanashusha video za hatari.
Fafanua zaid mkuuProxyium, Proxypal hizi ni njia ndogo za kukwepa Filter za wanafki TCRA.
Utakapokuwa unarudi Kazini Jioni utapitia hapo ferry Ofisi ya Waziri Mkuu, utakuta nimeacha hiyo document kwaajili yako š¤Nasubiri babu
Mara ya mwisho kuchungulia huko ilikuwa 2016.Mambo ya "Raha tupu"
Nimewasahau ni siku nyingi kuna ile couple ya mr and mrsMalkia nono, unamkumbuka š
Ha ha ha nimekumbuka mbali sanaNancy Mitikisiko Salamba
ššš
Sikufahamu hiloKumbe mmiliki alikuwa Mange?
Hahahah Raha tupu..Daah Nimeangalia sana hizi mambo na tulikuwa ila kwa sasa Namshukuru Mungu nimeshaacha maana nilipata addiction kabisa.Kweli mkuu rahatupu
Hongera mkuu kwa kuacha.Hahahah Raha tupu..Daah Nimeangalia sana hizi mambo na tulikuwa ila kwa sasa Namshukuru Mungu nimeshaacha maana nilipata addiction kabisa.
Baada ya kupitishwa ile sheria kandamizi Nancy akaamua kusalimu amri.Mara ya mwisho kuchungulia huko ilikuwa 2016.
Nahisi hiyo blog haipo tena.