Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa.
Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi.
Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu kaja bar kufanya umalaya ila kwasasa ya akili yako finyu ukamwona anakunywa juice ukasema huyu ndio mke.
Tulia upigwe na kitu kizito.
Mwanamke amekosa soko kotekote amekimbilia kanisani wewe chap unamwoa.
Lazima ujue deeply kabisa sababu ya yeye kuwa muumini. Wengine wana vvu wanakuja kupata tumaini tu.
Mwanamke Malaya ukimwamgalia mitindo ya nywele zake tu unajua huyu malaya.
Mwanamke malaya hata harufu yake inathibitisha kuwa huyu malaya.
Mwanamke anakunywa pombe kwa ujinga wako unamwoa.
Kuna vibinti vimetoa mimba mpaka vimelaaniwa , wewe kwa ujinga wako na kukosa macho ya rohoni unamwoa. Ni heri umwoe binti mwenye mtoto kuliko kuoa malaya.
Dada zake binti, mama zake wadogo watakupa picha halisi ya huyo mchumba wako.
Kuna Jirani yangu mke wake anampa kila kitu lakini bodaboda wanammanua tu. Imeniuma sana nilitamani niende nikamfukuze yule mwanamke jamaa aoe mke mwingine