MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
We bado mtoto, ukirogwa saiv utakua unaonewa bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unalazimisha kuaminishwa?Huo ujinga wa kuamini bila proof ndo watu wenye akili timamu hatuutaki. Kuaminishana story za hearsay ni uzwazwa.
Wanarogwa wenye nguvu za kiroho, kiuchumi, ushawishi nk huwezi roga mtu asie na faida
Siwezagi kubishana we baki na msimamo wako bhana hatulipwiIla wachawi hao hao wanaruka toka mkoa mmoja hadi mwingine kwenda kukaba tu mtu usiku. Make it make sense?
Naweza kukuthibitishia malaria ipo hata kama mimi siumwi malaria, can you do the same with ushirikina? Hata kama huwezi kuniroga mimi, maana ni dhahiri hawaniwezi, onyesha proof in any way, shape, or form. Hizi story na kuamisha goal post kunachosha. Paa mchana, penye ukutani, geuka kuwa chura huku kila mtu anaona. Hapa zitaletwa excuses zote but proof.
Sasa utajuaje umerogwa?Njooni mniloge basi kama mnaweza 😂😂😂😂
Kama ilivyo kutokuamini kitu hakifanyi hicho kitu kutokuwepo.Kuamini kitu ,hakufanyi kitu hicho kiwepo.
Kujifariji na nini?Hata miungu hawapo.
Ni mawazo ya binadamu tu kutaka kujifariji.
Sasa si ndo mniloge nione 😂😂😂
Uchawi sio miujiza ni vitu viwili tofauti.Mchawi huna nguvu za kupata majina yake kwa miujiza yako mpaka utajiwe na uone picha yake.
Hiyo tu inaonesha uchawi haupo
Hawa watu sijui wanajifanya wanaishi Dunia gani biblia yenyewe inatambua uwepo wa miungu Musa alivokua anawatoa Wana Islael alikumbana na uchawi fimbo inakuwa nyokakama unajua kuna mungu kwa nini usijue kuna shetani
Nilishatoa tangazo la kutaka mtu mwenye nyumba iliyokimbiwa na watu, yenye majini au vibwengo au mizimu au maluweluwe yoyote yale anionyeshe nikalale huko na nitamlipa; hakupatikana. Nimekatisha mapori, makaburini na kila mitaa wanayosema ina majini usiku wa manane wala sijakutana na lolote. Kuna kipindi tulienda Sumbawanga vijijini sehemu inaitwa Kalambanzite kuchukuwa mahindi, nikabeza wenyeji na kuwaambia ''wachovu ninyi kuna siku nitawatomb* wake zenu wote, kwanza hamna uchawi wowote na nguvu za kiume ndiyo kabisaa. Nilogeni kama mnaweza nyie wanaharamu''. Hola, mpaka leo sijaona kitu.Katika miaka niliyo nayo mpaka sasa sijawahi kukubali kuwa eti kuna uchawi sijui mtu anaweza kuloga sijiui mambo yako yasiende.
Kama kweli uchawi upo kwanini hao wachawi wasiende benki wakaloga wakachukua pesa.
Kama kuna mtu humu ndani alishawahi kulogwa njoo utupe mrejesho ilikuwaje.
Pia, kama kuna mtu anajiamini anaweza kuniloga njoo uniloge we taja unachotaka kutoka kwangu nitakupa we niloge kama kweli unaweza😂😂
Mwisho hakuna uchawi ni dhana za kufikilika tu.
Ulikuwa unataka kuthibitisha uwepo wa uchawi au ulitaka kuthibitisha kuwa wewe hudhuriki na uchawi na majini? Kwa sababu ulichokifanya hata anayeamini uchawi anaweza kukifanya kuonyesha kuwa yeye ni mwamba harogeki wala kudhurika na uchawi.Nilishatoa tangazo la kutaka mtu mwenye nyumba iliyokimbiwa na watu, yenye majini au vibwengo au mizimu au maluweluwe yoyote yale anionyeshe nikalale huko na nitamlipa; hakupatikana. Nimekatisha mapori, makaburini na kila mitaa wanayosema ina majini usiku wa manane wala sijakutana na lolote. Kuna kipindi tulienda Sumbawanga vijijini sehemu inaitwa Kalambanzite kuchukuwa mahindi, nikabeza wenyeji na kuwaambia ''wachovu ninyi kuna siku nitawatomb* wake zenu wote, kwanza hamna uchawi wowote na nguvu za kiume ndiyo kabisaa. Nilogeni kama mnaweza nyie wanaharamu''. Hola, mpaka leo sijaona kitu.
Nilitaka kuthibitisha uchawi hamnaUlikuwa unataka kuthibitisha uwepo wa uchawi au ulitaka kuthibitisha kuwa wewe hudhuriki na uchawi na majini? Kwa sababu ulichokifanya hata anayeamini uchawi anaweza kukifanya kuonyesha kuwa yeye ni mwamba harogeki wala kudhurika na uchawi.
Ulifanikiwa kuondoa vifungo hivyo? Au ulienda kupiga mfyefye upande wa pili..🤣Maombi mwombe Mungu kweli uchawi upo na tena wabaya na wengi wamekufunga hujui utaanzia wapi nimechelewa kila kitu kisa hao wachawi sasa weka maombi uwe nania yakuwa nikiwa na yesu yote naweza kwa anitiaye nguvu
Kumbe chuma tayari kishafika 😹😹Nimeukiza hiviiii...
Utajuaje huu ni uchawi, na si kitu kingine tu ambacho hujakielewa?
Mpaka sasa sijapata jibu la kueleweka.
Kweli; Ila aombe yasimkute.We bado mtoto, ukirogwa saiv utakua unaonewa bure.