Yah wazuri mkuu ni maisha ya kijijini na hali ngumu zimewachosha ila unaona kabisa wangekuwa mjini na maisha yenye afadhali wangekuwa bomba mbaya. kuhusu kutulia kwenye ndoa maisha ya bush yanawafanya watulie tu hakuna namna maana bush watu hawagongeani wake kihivyo na hakuna mambo mengi. asubuhi ni shamba, jioni kupika, wakitoka sana ni gulio siku za gulio na kwenye vyama vya vicoba. kila mtu anamjua kila mtu kufanya uchepukaji ni ngumu japo pia upo unafanyika.Na vipi mkuu hao wanawake ni wazuri na wamejazia? Na je wanatulia kwenye ndoa?