Mnaobabaika na wanawake wa Kitutsi kuna kitu hamkijui, wale sio wife material

Status
Not open for further replies.
Na vipi mkuu hao wanawake ni wazuri na wamejazia? Na je wanatulia kwenye ndoa?
Yah wazuri mkuu ni maisha ya kijijini na hali ngumu zimewachosha ila unaona kabisa wangekuwa mjini na maisha yenye afadhali wangekuwa bomba mbaya. kuhusu kutulia kwenye ndoa maisha ya bush yanawafanya watulie tu hakuna namna maana bush watu hawagongeani wake kihivyo na hakuna mambo mengi. asubuhi ni shamba, jioni kupika, wakitoka sana ni gulio siku za gulio na kwenye vyama vya vicoba. kila mtu anamjua kila mtu kufanya uchepukaji ni ngumu japo pia upo unafanyika.
 
Hao ni wahangaza?
 
Usijidanganye ukamoeleka mjini
 
Huko kuna human trafficking, nilikuwa kijijini kwetu mwaka juzi huko mleba kijiji fulani. watu wanatoa order ya hao wanawake wanaletewa from ngara wanawaoa. yani unaagiza tu unatoa features.
kilichonishtua hao wanaotoa order si kwamba wana maisha mazuri, sasa sijui huko ngara kuna maisha magumu zaidi au la
Hii ipo sana tangu kale. Wanawake Wahangaza wanavumilia shida na wanaheshimu kwanza ndoa kabla ya kuheshimu mume. Yeye akiambiwa kuna mtu anataka kuoa binti mwenye sifa kama zako tiyari anampenda akiwa njiani kumfuata. They are loyal to the death.

Na anayetoa order anakuwa hoehae most of the time sababu pisi anazoona around zinamshinda. Hata Marekani hii ilikuwepo wazungu walikuwa wanaweka order kutoka Southern Asia hasa Vietnam, bei inakuwa kubwa kutokana na urefu, urembo, mpangilio wa meno, umri, bikra, etc.
 
Hao watutsi wanakuzwa tu ila hata mimi nimekutana nao sio pisi kiasi hicho.
Watutsi ninawapa wairaqwu wa Manyara ama nawapa wagunya wa Tanga au nawapa wanyaturu wanapotea kabisa.
Au kabila la mwisho nalowapa wasambaa wakilindi.
Sana sana walichobarikiwa urefu tu nothing else kwa hao watutsi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom