Hahahah mjomba wa mchongo kweli😂 inaonekana mimba ilikuwa haitaki kushika nini?Kuna dada angu kicheche katumia huu ungese baada ya kuona ndoa inaenda kombo akamtegea mimba mume wake hapo wana mtoto ana mwaka mmoja na nusu tayari ikabidi jamaa arudishe maelewano kwenye ndoa tu walee watoto...Mjomba aliyezaliwa mapema mwaka huu huwa namuitaga mjomba wa mchongo😂
😂😂😂Asante mkuu maaan wikiend hii naenda kwa mama chanja amesema lazma tuoge wote
Umeniokoa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiy mwanamke akiluka mtoto anabidilika sura kutoka ya mwamedi kwenda ya joni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna dada angu kicheche katumia huu ungese baada ya kuona ndoa inaenda kombo akamtegea mimba mume wake hapo wana mtoto ana mwaka mmoja na nusu tayari ikabidi jamaa arudishe maelewano kwenye ndoa tu walee watoto...Mjomba aliyezaliwa mapema mwaka huu huwa namuitaga mjomba wa mchongo[emoji23]
Kama mnatumia shower inakuwaje mkuuMbinu rahc tu......maji Yale mnaoga wew weka chumvi.....
Kaka hapa umeleta balaa ujueMwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.
1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.
2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote.
Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
Hii ndiyo maana ya Uchawi sasa.Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.
1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.
2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote.
Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
Hamna kitu kama hiyo
Kuna kabila nlisikiaga ni wakinga nadhan huwezi singizia mtu mimba au mtotoLazima viumane kupitia Uzi huu. Inshort wewe hapa umetumika na Ibilisi kuchochea ugomvi
huu mziki mnenetafuta kaburi alilo zikwa mzee mwenye umri ulio enda enda kidogo, naitafaa sana kama mzee huyo alikuwa mtu maarufu kwenye jamii yake chuma majani ya usawa wa miguu adi kiunoni kwenye kaburi, ukiwa njiani unarudi nyumbani usigeuke wala usiongee na yeyote, kisha yaweke chini ya kitanda mnacho lala na yaseme neon... !......kitakacho tokea ni mawili kutokana na ulivyo nuhia , mimba kuporomoka au mtu ku rest in pieceee!
Mjomba ulikua unalala urukwe ili mfanane n mwanao [emoji3]Hamna ukweli wowote mi Mwanangu kachukua rangi tu,sura ya Mama.
Kipindi chot cha ujauzito alikua ana niruka hata mara 4 usiku kwenda kukojoa na sura sijafanana nae,hata kuoga tulioga pamoja mara kadhaa...
Au ndo iamni tena