Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

tafuta kaburi alilo zikwa mzee mwenye umri ulio enda enda kidogo, naitafaa sana kama mzee huyo alikuwa mtu maarufu kwenye jamii yake chuma majani ya usawa wa miguu adi kiunoni kwenye kaburi, ukiwa njiani unarudi nyumbani usigeuke wala usiongee na yeyote, kisha yaweke chini ya kitanda mnacho lala na yaseme neon... !......kitakacho tokea ni mawili kutokana na ulivyo nuhia , mimba kuporomoka au mtu ku rest in pieceee!
 
Kuna dada angu kicheche katumia huu ungese baada ya kuona ndoa inaenda kombo akamtegea mimba mume wake hapo wana mtoto ana mwaka mmoja na nusu tayari ikabidi jamaa arudishe maelewano kwenye ndoa tu walee watoto...Mjomba aliyezaliwa mapema mwaka huu huwa namuitaga mjomba wa mchongo😂
Hahahah mjomba wa mchongo kweli😂 inaonekana mimba ilikuwa haitaki kushika nini?
 
Hamna ukweli wowote mi Mwanangu kachukua rangi tu,sura ya Mama.
Kipindi chot cha ujauzito alikua ana niruka hata mara 4 usiku kwenda kukojoa na sura sijafanana nae,hata kuoga tulioga pamoja mara kadhaa...
Au ndo iamni tena
 
Kuna dada angu kicheche katumia huu ungese baada ya kuona ndoa inaenda kombo akamtegea mimba mume wake hapo wana mtoto ana mwaka mmoja na nusu tayari ikabidi jamaa arudishe maelewano kwenye ndoa tu walee watoto...Mjomba aliyezaliwa mapema mwaka huu huwa namuitaga mjomba wa mchongo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.

1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.

2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote
.

Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
Kaka hapa umeleta balaa ujue
 
Hii ndiyo maana ya Uchawi sasa.
 
tafuta kaburi alilo zikwa mzee mwenye umri ulio enda enda kidogo, naitafaa sana kama mzee huyo alikuwa mtu maarufu kwenye jamii yake chuma majani ya usawa wa miguu adi kiunoni kwenye kaburi, ukiwa njiani unarudi nyumbani usigeuke wala usiongee na yeyote, kisha yaweke chini ya kitanda mnacho lala na yaseme neon... !......kitakacho tokea ni mawili kutokana na ulivyo nuhia , mimba kuporomoka au mtu ku rest in pieceee!
huu mziki mnene
 
uganga wa kienyeji huu.....connection ipi hapa ya kiscience inayothibitisha haya...

ukipiga bao ukamwaga maji meupe, tunaambiwa kuna x na y then ipo science yakuonekana mpaka mtoto anatengenezwa..

haya tupeni science hii nini kinatokea...
 
Nimekumbuka kuna mdau mmoja aliwahi kusema mke wake akiwa ana mimba alimwamsha saa sita usiku akisema anataka miwa, akaelezea namna alivyoangaika kugongea milango raia usiku ule hadi alipofanikiwa kupata.

Sasa alipomletea mkewe, badala mkewe yeye ale muwa, akataka tena mumewe ndo ale huo muwa, yeye raha yake asikie ile sauti ya muwa ukipambana na meno. Jamaa alikuwa analalamika hapo alipo meno hayafai.
 
Hamna ukweli wowote mi Mwanangu kachukua rangi tu,sura ya Mama.
Kipindi chot cha ujauzito alikua ana niruka hata mara 4 usiku kwenda kukojoa na sura sijafanana nae,hata kuoga tulioga pamoja mara kadhaa...
Au ndo iamni tena
Mjomba ulikua unalala urukwe ili mfanane n mwanao [emoji3]
 
Back
Top Bottom