Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

[emoji30]
 
Zina usayansi ndani yake au ndio porojo tu za "black magic"??!
 
Hii niliwahi kuisikia kwa mzee mmoja huko katavi kwenye kijiwe cha gahwa pale kashauriri
 
Uongo
 
Siku ambayo serikali itarahisisha mchakato wa DNA, nahisi hiyo foleni huko mahospitalini sijui itakuwaje.
 
Ungekuwa unafahamu inheritance ya genetics usingeongea huu utumbo

 
Kati ya sayansi na ushirikina tuamini kipi kwenye hili mkuu
 
kuna mtoto nafanana naye sana, anafanana na ndugu zangu, but still lazima nifanye DNA test.
Hivi kipimo cha DNA kina uhakika wa kutoa asilimia ngapi ya kutoa majibu sahihi? Ukipata jibu lake fanya maamuzi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…