Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

Nimekumbuka kuna mdau mmoja aliwahi kusema mke wake akiwa ana mimba alimwamsha saa sita usiku akisema anataka miwa, akaelezea namna alivyoangaika kugongea milango raia usiku ule hadi alipofanikiwa kupata.

Sasa alipomletea mkewe, badala mkewe yeye ale muwa, akataka tena mumewe ndo ale huo muwa, yeye raha yake asikie ile sauti ya muwa ukipambana na meno. Jamaa alikuwa analalamika hapo alipo meno hayafai.
[emoji30]
 
Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.

1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.

2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote
.

Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
Zina usayansi ndani yake au ndio porojo tu za "black magic"??!
 
tafuta kaburi alilo zikwa mzee mwenye umri ulio enda enda kidogo, naitafaa sana kama mzee huyo alikuwa mtu maarufu kwenye jamii yake chuma majani ya usawa wa miguu adi kiunoni kwenye kaburi, ukiwa njiani unarudi nyumbani usigeuke wala usiongee na yeyote, kisha yaweke chini ya kitanda mnacho lala na yaseme neon... !......kitakacho tokea ni mawili kutokana na ulivyo nuhia , mimba kuporomoka au mtu ku rest in pieceee!
Hii niliwahi kuisikia kwa mzee mmoja huko katavi kwenye kijiwe cha gahwa pale kashauriri
 
Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.

1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.

2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote
.

Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
Uongo
 
Siku ambayo serikali itarahisisha mchakato wa DNA, nahisi hiyo foleni huko mahospitalini sijui itakuwaje.
 
Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.

1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.

2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote
.

Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
Ungekuwa unafahamu inheritance ya genetics usingeongea huu utumbo

Kati ya sayansi na ushirikina tuamini kipi kwenye hili mkuu
 
kuna mtoto nafanana naye sana, anafanana na ndugu zangu, but still lazima nifanye DNA test.
Hivi kipimo cha DNA kina uhakika wa kutoa asilimia ngapi ya kutoa majibu sahihi? Ukipata jibu lake fanya maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom