Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haji anaweza kuwa kakosea kwenye baadhi ya kauli zake ila kilichomuuma zaidi ni kuambiwa kuwa anaihujumu team anayaoipenda.
Root cause ya hasira za Haji zilianza kwa kuambiwa kuwa anaihujumu team, kama ni maslahi mbona kayavumilia kwa miaka 6?
Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha.
Mtu aliye tayari mpoteze yote mliyofikia kwa kuwa tu maslahi yake yamevurugika ni Mtu Mbaya na Msaliti.
Manara sasa ameonesha rangi zake halisi, kwamba kwake maslahi yake ni muhimu kuliko ya kundi, hata kama aliwahi kuwaaminisha Wanakikundi Wenzake kuwa yeye ni Mwenzao wa kufa na kuzikana.
Kama Manara alituhumiwa na Wenzake kuwa 'anaropoka' siri za kambi kwa Wapinzani...kwa anayofanya sasa bado anataka tuamini kuwa alikuwa anasingiziwa?
Simaanishi kuwa Manara hakukosewa au hakupitia maudhi ya hapa na pale ndani ya Simba, lakini ni vipi Askari akiamua kutoka hadharani kuanza kuropoka kila yanayomkuta kwenye kambi yake?
Au Muajiriwa aanze kuropoka mapungufu ya Kampuni/Taasisi aliyokuwa anafanya nayo kazi kabla?...huenda kwa wakati huo kama Mshindani/Mpinzani utafurahia kusikia...lakini kama una akili lazima utabaki na maswali "je mimi nitakuwa salama kuwa karibu na Mtu kama huyu?"
Anachokifanya Manara ni dhahiri kuwa kwa sasa hajali tena nini kitatokea kwa Simba. Kama ana ugomvi na Moo hivi kuna haja gani kutamani kuwasumbua wote wanaoifuatilia na kupenda mafanikio ya Simba?
Mnapokuwa katikati ya kusheherekea matunda/mafanikio ya kazi Mtu pekee mnayemtarajia aje awavurugie sherehe yenu ni yule ambaye siku zote anapingana nanyi na hapendi mafanikio yenu, na si yule aliye/anayewaaminisha siku zote kuwa ni sehemu yenu .
Mbona taasisi zingine ambazo alifanyanazo kazi na wakaachana vizuri mbona hakuwa na shida nao?Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha.
Mtu aliye tayari mpoteze yote mliyofikia kwa kuwa tu maslahi yake yamevurugika ni Mtu Mbaya na Msaliti.
Manara sasa ameonesha rangi zake halisi, kwamba kwake maslahi yake ni muhimu kuliko ya kundi, hata kama aliwahi kuwaaminisha Wanakikundi Wenzake kuwa yeye ni Mwenzao wa kufa na kuzikana.
Kama Manara alituhumiwa na Wenzake kuwa 'anaropoka' siri za kambi kwa Wapinzani...kwa anayofanya sasa bado anataka tuamini kuwa alikuwa anasingiziwa?
Simaanishi kuwa Manara hakukosewa au hakupitia maudhi ya hapa na pale ndani ya Simba, lakini ni vipi Askari akiamua kutoka hadharani kuanza kuropoka kila yanayomkuta kwenye kambi yake?
Au Muajiriwa aanze kuropoka mapungufu ya Kampuni/Taasisi aliyokuwa anafanya nayo kazi kabla?...huenda kwa wakati huo kama Mshindani/Mpinzani utafurahia kusikia...lakini kama una akili lazima utabaki na maswali "je mimi nitakuwa salama kuwa karibu na Mtu kama huyu?"
Anachokifanya Manara ni dhahiri kuwa kwa sasa hajali tena nini kitatokea kwa Simba. Kama ana ugomvi na Moo hivi kuna haja gani kutamani kuwasumbua wote wanaoifuatilia na kupenda mafanikio ya Simba?
Mnapokuwa katikati ya kusheherekea matunda/mafanikio ya kazi Mtu pekee mnayemtarajia aje awavurugie sherehe yenu ni yule ambaye siku zote anapingana nanyi na hapendi mafanikio yenu, na si yule aliye/anayewaaminisha siku zote kuwa ni sehemu yenu .
Basi nenda ww Acha kazi yako na ukatangaze biashara za MOKwa shombo hizi za Haji hata sisi mashabiki tushajua ni kweli Haji ni mwezi mchanga. Hatutakubali Haji arudishwe, aende akafanye kazi kwenye Timu pendwa ya Baba yake Mzee Manara