Mnaofurahia Mikopo, Sri Lanka pia iIianza kama sisi

Nijibu kwaza Kuna hawamu ambayo haijawai kukopa?
Kama pesa zinazokopwa zikitumika kwa uangalifu mkubwa bila ubadhirifu wowote tija ya hiyo mikopo itaonekana, lakini kwa uzoefu wa hapa bongo pesa huwa zinafanyiwa hesabu chafu ! Na kibaya ni kile kitu kinaitwa Kazi na Bata !! Pesa ya serikali huwa wengine wanaona kama vile ni halali yake kuliwa tu !!
 
unaona kinachoendelea sri lanka ? unakumbuka kilichotokea ugiriki ?
Hayo ndio mambo wapendwa wetu humu hawataki kuambiwa.

Wao wanachoangalia ni fursa hizi za muda mfupi tena zenye manufaa kwa tabaka la wachache wanaodiriki kujitapa hadharani kama walamba asali.
 
Gesi asilia,Madini lukuki,Mafuta chini ya Ardhi,Bahari kuu,Maziwa makuu,Misitu asilia,Hifadhi za taifa ziko 22,Ardhi yenye rutuba,Mito mikuu inayotiririsha maji mwaka mzima non stop nk...nk....
Kwa kweli !! Duh ! Kazi na Bata inatudidimiza !!
 
Ukitaka kuamini sisi ni failures hebu angalia mpaka leo tunajenga VETA na madarasa tena kwa mkopo? What a fuc**
Halafu tunabandika na mabango makubwa yakisomeka
"kwa msaada wa...." hadi kwenye vyoo.
 
Halafu tukihoji tunaitwa Wapuuzi au Akili ndogo.

Imagine waziri Makambajr5 anatoa mitungi 300 ya gesi asilia kama zawadi kwa UWT bila ufafanuzi hiyo mitungi imetoka fungu gani huko wizarani na hata bungeni kwenye bajeti hatukulisikia.
 
Hayo ndio mambo wapendwa wetu humu hawataki kuambiwa.

Wao wanachoangalia ni fursa hizi za muda mfupi tena zenye manufaa kwa tabaka la wachache wanaodiriki kujitapa hadharani kama walamba asali.
kuna siku tutalamba machungu taifa zima
 
Nchi inatakiwa ikope kupunguza mzigo wa kodi kwa wananchi wake. Jambo la kutazama ni aina ya mkopo na kama kweli mzigo wa kodi na tozo unapungua kwa wananchi wake
 
Wao wananunulia mabus pesa zetu wakistaafu mabus nayo ufa sababu yaliyendeshwa kwa kodi zetu.
Sababu pia wanakuwa hawana uzoefu na mambo ya biashara kwa muda wote wa utumishi wao kwenye sekta za umma.
 
Unatuthibitiashiaje wewe kama wewe,wakati sio waziri wa fedha wala mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti?
Kumbe unafahamu kuwa kuna wizara ya fefha na kamati ya bunge ambayo unaweza kupata majibu? Sasa kwann hayo majibu huna?
 
Kumbe unafahamu kuwa kuna wizara ya fefha na kamati ya bunge ambayo unaweza kupata majibu? Sasa kwann hayo majibu huna?
Ninatambua uwepo wa hivyo vyote ila sina imani na kila wanachotuambia.

Kwa waziri wa fedha anayetutamkia kwamba kama hatuwezi tuhamie Burundi [emoji1060]....how can I trust the person?
 
Ndiyo umuhimu wa vyama vingi badala ya udikteta. Hii ni nchi ambayo ilikuwa inaendeshwa na familia kungekuwa na demokrasia wasingefika hapa walipo leo. Tatizo sio mikopo pekee ni uongozi
 
Uko sahihi
Ndiyo umuhimu wa vyama vingi badala ya udikteta. Hii ni nchi ambayo ilikuwa inaendeshwa na familia kungekuwa na demokrasia wasingefika hapa walipo leo. Tatizo sio mikopo pekee ni uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…