The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Tupe za kiuhalisiaHizo takwimu ni zako na Mwigulu Nchemba lakini sio za kiuhalisia.
Vema hii ukawaambia wenzio kwenye mikutano ya Shaka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe za kiuhalisiaHizo takwimu ni zako na Mwigulu Nchemba lakini sio za kiuhalisia.
Vema hii ukawaambia wenzio kwenye mikutano ya Shaka!
Jibu swali Hilo mbumbumbu weweNa hakuna nchi ambayo haikopi ndio maana ya kuwa na benk ya dunia ww uwezi kwenda kukoa kule ila serikali inaweza kwenda kukopa
Aya nenda ww katujengee vyoo uko mashuleni na ww pia tutakutangaza Kama USAIDKwa hiyo nchi kama nchi unaona fahari kuwa na bango la shukurani ya msaada wa kujengewa choo shuleni na kwingineko katika Jamii?
Kilichojaa CCM sio "vipaji" bali "Unafiki"Magufuli alijaza wabunge wa CCM huko bungeni kwa kisingizio kuwa ni wazalendo,na hawazuii maendeleo. Waambie wakazue kukopa.
Af uache kutisha watu tunaweza kwenda kukushtaki kuwa unatukosesha amani unatutisha na Vita tukakupotezaKilichojaa CCM sio "vipaji" bali "Unafiki"
Vipaji na uzalendo umeminywa na kundi la watwana ndani ya chama.
Imekaa mtindo wa "Gusa Uumie"
Wewe Tindo sio mgeni na unaelewa vizuri sana.
Tatizo hapa ni kwamba watu hawataki kuambiwa ukweli siku zote.hii mikopo imezidi.
tunajisifia kukopa aibu sana!
iwapo wakiitumia mikopo hii kimkakati kujenga miundombinu ya reli na umeme ni sawa ila wakiifisadi bongo itakuwa next SrI Lanka! hilo liko wazi kabisa haihitaji digrii kuliona!
Af uache kutisha watu tunaweza kwenda kukushtaki kuwa unatukosesha amani unatutisha na Vita tukakupoteza
Ww unapotosha Jamiimwachiluwi !
Hayo ni mawazo mfu na mgando.
mmeisha poteza watu wangapi na mtaendelea kupoteza watu mpaka lini?
Mbona bado jamii haikai kimya?
Kwani nini maana ya mwananchi kulipa kodi?Ww unapotosha Jamii
Mfano Kama serikali ingekuwa inatoa gharama zinatotakiwa mtu kulipa katika vituo vya afya unafikili Nan angeweza kumudu
Muwe na shukran mama anaupiga mwingi ajira ni social problem at China jobless wapo na hata China inakopa pia
Nachoongea unielewi lala ukueKwani nini maana ya mwananchi kulipa kodi?
Je!
Bei za madawa ya binadamu,huko hospitali za serikali na maduka binafsi zinatofautiana?
Halafu kuna huduma gani kwa sasa inapatikana bure katika hospitali za Umma?
Tofauti ni majina tu pamoja na ubora wa huduma kati ya Private na Public hospitals.
Virginevyo kote ni malipo kwanza ndio upate huduma.
Kaka sio hawamu ni AWAMU nimeandika kwa herufi kubwa utambue[emoji1787][emoji1787]Aya kwaio kwa akili yako mbovu unataka kusema hawamu hi imepitiliza kiwango Cha mikopo si ndivyo?
Kwaio nikusaidiaje?Kaka sio hawamu ni AWAMU nimeandika kwa herufi kubwa utambue[emoji1787][emoji1787]
Sure tunakopa kujenga madarasa na matundu ya VYOO kweli tupo serious kma taifa ccm ni jangaUnapokwenda kukopa uwe na dira ya kuja kuutumia ule mkopo kwa miradi ambayo baadae itakuwezesha kujikwamua kwenye kukopa na sio kukopa na kuja kujengea shule au matundu ya vyoo.
Wakati hata huduma kwa hao walimu hazijitoshezi.
Wakati hakuna ubunifu wa ajira mpya ili kuendana na kiwango cha uzalishaji wasomi kila mwaka nchini.
Vema kukopa kwa miradi mikubwa ya kimkakati kama vile kilimo kikubwa cha kisasa na hivyo kupanua ajira za wananchi na kipato cha kitaifa.
Vema kukopa na kuwekeza kwenye miundombinu mikubwa ya uvuvi wa kimkakati katika bahari kuu na hivyo kuliwezesha taifa kiuchumi.
Kuna mambo meengi kuliko.
Na sio kinachoendelea kwa sasa.eti unakwenda kukopa halafu na wewe unakuja kukopesha kina mama wajasiliamali.
Mikopo ambayo haina historia ya urejeshwaji zaidi ya kugeuka hongo za kiuchaguzi.
Ww kwa akili yako unahisi ivyo vyote vinaweza kuendesha nchi iwatengenezee miundombinu ilipe mishahara na hapohapo iwapunguzie gharama za
maisha na kulipa Kodi mataki muwe mnafikilia kabla ya kusema
Kwani tukikopa hatulipi? Mwaka huu pekee tunakopa Til.8 na kulipa Til.10..Aliyekwambia Nchi inakopa bila mpango ni nani?
Na kwa taarifa yako ,madeni mengi yanayolipwa sasa yalikopwa toka enzi za Mwalimu na awamu zilizopita kutegemeana na muda wa kila deni.