voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
- Thread starter
- #81
Walikopa kimya kimya ila wakaweka wazi matumizi na miradi husika tena ya kimkakati.Bora hata tunawekwa wazi kuhusu hii mikopo, kuliko ile tuliyokuwa tunadanganywa Tanzania ni nchi tajiri wakati wanakopa kimya kimya.
Sasa wanakopa kwa sauti na kutumia kwa Ukimya.
Ebu nitolee ufafanuzi wa mapato na matumizi yatokanayo na Tozo za miamala inayoendelea?
Ni mradi gani wa kimkakati ambao umetokana na mikopo lukuki inayoendelea kumiminika kwa sasa?