voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
- Thread starter
- #101
Hizo unaongea Ilani ya uchaguzi ya CCM ya Magufuli,ambae mlimfutilia mbali.Huwezi kumuelewa mama kama IQ yako ndogo.
Ajira mpya
Nyongeza ya mishahara iliyoshindikana kwa miaka 6
Kupandisha vyeo watumishi
Na hiyo miradi yenu ya Kimkakati, (mfano SGR lot 4,5,6 msiseme ni za awamu ya tano) zinaendelea kama kawaida bila kusahau muendelezo na ukamilishaji wa lot 1,2
Ndege mpya 5,
Ujenzi wa madarasa 15,000 nchi nzima (Hapa hujui ni ajira ngapi zimetengenezwa zikiwemo za wadogo zako???)
Miradi ya usambazaji maji vijijini
Ujenzi wa na uboreshaji wa barabara za vijijini.
Ukamilishaji wa vituo vya afya (Staffing (ajira)/ Madawa/ Vifaa tiba)
Bunge live (mlilosema ni gharama kwa serikali)
Uboreshaji wa sheria za vyombo vya habari
Sasa tueleze miradi na Ilani ya uchaguzi ya hii mnayoiita......
"Awamu ya Sita" kama ipo!
Kupanda kwa mishahara kunabaki kwenye tarakimu tu.
Ukija kwenye uhalisia utashika kiuno kwa uchovu!