Mnaogopa Maandamano kisa Mnatakiwa kutoka kila siku ili mle kuweni na AIBU

Mnaogopa Maandamano kisa Mnatakiwa kutoka kila siku ili mle kuweni na AIBU

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Kuna mambo yanashangaza sana lakini inaonekana hata waandishi wa habari wetu ni vichwa maji contents kama hizo wala siyo za kuweka public.

Tafsiri ya wewe utoke kila siku ndiyo ule ni kwamba wewe siyo masikini tu bali kapuku kabisa. Hawa wanaosema hivyo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kwenye maandamano maana serikali imewatengenezea maisha magumu sana.

Tuseme umeumwa kama lazima kila siku utoke utaishije hata mfano kuna janga jingine la kitaifa kama.siyo kutuuzia uoga ni nini kama siyo upumbavu.

Wanyama kama ng'omba. Mbuzi na kondoo ndo huwa lazima watoke kila siku ili wale binadamu hatujaumbwa hivyo, na Ukiona hivyo ujue maisha yako yapo hatarini sana chukua hatua haraka.

Kwa kawaida kipato cha mtu kinatakiwa kimwezeshe kuishi miezi 6 mfululizo bila kufanya kazi. Hata vijijini wanalima kwa miezi sita wanaanza kula bata wa miezi kadhaa hadi msimu ujao tena.

Wanasiasa mnaowakingia kifua hata wasipofanya kazi kwa miaka 10 wataendelea kula tu acheni ujinga. Sauti za kutoka kila siku nilitegemea nizisikie kutoka kwa mbuzi na Bata siyo kwa binadamu.

FB_IMG_1762877227823.jpg



Get ready D9 on the way.
 
Mnataka nini? Maridhiano hamtaki mtasikilizwa vipi? Acheni us*enge wajinga nyie mnafata tu mikumbo!
Maridhiano baada ya kuua watu Maridhiano yanarudisha waliokufa? Muuaji anapofiwa Ulia nachozi Halisi sio bandia
 
Back
Top Bottom