Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
It's me bro, you have to relax, growth is not a crime😎🔰Hivi ni wewe wewe? Na katika audio kidada chenye sauti nzuri au kuna mtu kaiba avatar??? 🤔🤔🤔
It's me bro, you have to relax, growth is not a crime😎🔰Hivi ni wewe wewe? Na katika audio kidada chenye sauti nzuri au kuna mtu kaiba avatar??? 🤔🤔🤔
Aiseeee pumbu zangu siyo magimbi ya viazi hadi zishinde zimekalia kiti nyumbani.Utakufa vibaya tuliza pumbu nyumbani
Bandiko lako haliondoi ukweliGT
Kuna mambo yanashangaza sana lakini inaonekana hata waandishi wa habari wetu ni vichwa maji contents kama hizo wala siyo za kuweka public.
Tafsiri ya wewe utoke kila siku ndiyo ule ni kwamba wewe siyo masikini tu bali kapuku kabisa. Hawa wanaosema hivyo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kwenye maandamano maana serikali imewatengenezea maisha magumu sana.
Tuseme umeumwa kama lazima kila siku utoke utaishije hata mfano kuna janga jingine la kitaifa kama.siyo kutuuzia uoga ni nini kama siyo upumbavu.
Wanyama kama ng'omba. Mbuzi na kondoo ndo huwa lazima watoke kila siku ili wale binadamu hatujaumbwa hivyo, na Ukiona hivyo ujue maisha yako yapo hatarini sana chukua hatua haraka.
Kwa kawaida kipato cha mtu kinatakiwa kimwezeshe kuishi miezi 6 mfululizo bila kufanya kazi. Hata vijijini wanalima kwa miezi sita wanaanza kula bata wa miezi kadhaa hadi msimu ujao tena.
Wanasiasa mnaowakingia kifua hata wasipofanya kazi kwa miaka 10 wataendelea kula tu acheni ujinga. Sauti za kutoka kila siku nilitegemea nizisikie kutoka kwa mbuzi na Bata siyo kwa binadamu.
View attachment 3501717
Get ready D9 on the way.
Wewe na mamako mnafirwa!Acha kutukana kijana utaishia segerea
That insult expired, bring a new one😎🔰Wewe na mamako mnafirwa!
😅😅😅😅Aiseeee pumbu zangu siyo magimbi ya viazi hadi zishinde zimekalia kiti nyumbani.
Tunataka muuaji samia Aachie madara na ICC wachukue mteja waoMnataka nini? Maridhiano hamtaki mtasikilizwa vipi? Acheni us*enge wajinga nyie mnafata tu mikumbo!
Shut up you concubine!That insult expired, bring a new one😎🔰
Your rudeness doesn't intimidated me, it embrasses you😎🔰Shut up you concubine!
Mmmh kwahiyo hapo ndio unagrow asee si mchezo, heri tu urudi utotoni u were sooo amazing kwenye utoto kuliko huu utu uzima uliokosa empathyIt's me bro, you have to relax, growth is not a crime😎🔰
Stupid!Your rudeness doesn't intimidated me, it embrasses you😎🔰