AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Leo naona nyamwi ..... kimekuingia vizuri umeguswa kunako mpaka umefyatukaKmlmyako
Leo naona nyamwi ..... kimekuingia vizuri umeguswa kunako mpaka umefyatukaKmlmyako
unambwqto wa wachawi qummer qibuyu ww na usiku wa leo lazma nije kukulomba usikuKmlmyako
Huna akiliNani kauq hao watu? Si ni genz mliowakodi kutoka Kenya
Maridhiano baada ya?Mnataka nini? Maridhiano hamtaki mtasikilizwa vipi? Acheni us*enge wajinga nyie mnafata tu mikumbo!
Hana akili huyo🤣Kwa hiyo maridhiano mnataka kufanya na GenZ wa Kenya maisha yamekua rahisi kiasi icho😂😂😂
Ridhiana na bibi ako.Maridhiano baada ya kuua watu Maridhiano yanarudisha waliokufa? Muuaji anapofiwa Ulia nachozi Halisi sio bandia
Pangu pakavu, tia mchuzi, hawezi jibu haya maswali kwa hoja, zaidi atakujia hapa komwe limepata moto as if kako mwezini.Maridhiano baada ya?
Maridhiano kabla ya ?
Mbona hamkutaka?
Leo naona umeamua kujivua akili unajiabisha bila kujua...Nani kauq hao watu? Si ni genz mliowakodi kutoka Kenya
anaongea mambo hayaelewekiHana akili huyo🤣
Kachanganyikiwa
ndo huk mfumo watakaoandamana wanataka wautoe hujuulizi una miaka 30+ huna hata chakula cha kukaa week ndani bila kutoka huwezi kula yaan hata akiba ya kula week hauna na ww umeridhika tu huoni kama ni ufalaAisee umetupiga kwenye mshono lakin ebu angalia ile jioni tukitoka kuandamana tutakula nini,maana hata uwezo wa kununua kilo 20 za mchele sina
Hivi ni wewe wewe? Na katika audio kidada chenye sauti nzuri au kuna mtu kaiba avatar??? 🤔🤔🤔Nani kauq hao watu? Si ni genz mliowakodi kutoka Kenya
Wapi nikakasikilize hako kachangudoaHivi ni wewe wewe? Na katika audio kidada chenye sauti nzuri au kuna mtu kaiba avatar??? 🤔🤔🤔
HahahaHivi ni wewe wewe? Na katika audio kidada chenye sauti nzuri au kuna mtu kaiba avatar??? 🤔🤔🤔
Bila shaka mama yako ni mzoefu wa kupakuliwa kinyesi?Mnataka nini? Maridhiano hamtaki mtasikilizwa vipi? Acheni us*enge wajinga nyie mnafata tu mikumbo!
Atatoka wap atakua uvunguni uyo .unwaskiliza raia wa umu,Mungu apate kuilaza roho yako mahala panapostahili ..itapendeza ikiwa motoni Amen!😎
Acha kutukana kijana utaishia segereaBila shaka mama yako ni mzoefu wa kupakuliwa kinyesi?
View attachment 3501802
Hahahahaha mjinga huyo?Atatoka wap atakua uvunguni uyo .unwaskiliza raia wa umu,
Utamuona umu trhe 10 analeta story za abunuwasi
Wewe kama unaona Yana maana sana kwako na sio lazma itoke ili ule bas we Toka..GT
Kuna mambo yanashangaza sana lakini inaonekana hata waandishi wa habari wetu ni vichwa maji contents kama hizo wala siyo za kuweka public.
Tafsiri ya wewe utoke kila siku ndiyo ule ni kwamba wewe siyo masikini tu bali kapuku kabisa. Hawa wanaosema hivyo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kwenye maandamano maana serikali imewatengenezea maisha magumu sana.
Tuseme umeumwa kama lazima kila siku utoke utaishije hata mfano kuna janga jingine la kitaifa kama.siyo kutuuzia uoga ni nini kama siyo upumbavu.
Wanyama kama ng'omba. Mbuzi na kondoo ndo huwa lazima watoke kila siku ili wale binadamu hatujaumbwa hivyo, na Ukiona hivyo ujue maisha yako yapo hatarini sana chukua hatua haraka.
Kwa kawaida kipato cha mtu kinatakiwa kimwezeshe kuishi miezi 6 mfululizo bila kufanya kazi. Hata vijijini wanalima kwa miezi sita wanaanza kula bata wa miezi kadhaa hadi msimu ujao tena.
Wanasiasa mnaowakingia kifua hata wasipofanya kazi kwa miaka 10 wataendelea kula tu acheni ujinga. Sauti za kutoka kila siku nilitegemea nizisikie kutoka kwa mbuzi na Bata siyo kwa binadamu.
View attachment 3501717
Get ready D9 on the way.