GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.
Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.