Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Unaona sasa, unawaita mashetani viumbe walioumbwa na Mungu kama wewe kisa tu wanakukumbusha kuwa muadilifu. Halafu utegemee kupata hizo baraka? Ingekuwa bora ukabadilika kuanzia Christmas hii kwenda mbele.
Nguvu ya Mungu kwa ampendae kamwe haizuiliki na Mashetani walioko / tulionao hapa duniani.
 
Hivi inakuwaje mnajenga uadui Kwa fake Id's?
Mimi binafsi huichukukulia jf kuwa ni sehemu ya kuja kupotezea muda baada ya kazi ngumu ya kujitafutia riziki..
Japo pia huwa ni chanzo changu cha haraka kwenye breaking news na baadhi ya mambo mengine
Kheri yako Kiongozi ila kuna Watu wanatamani hata wasikie GENTAMYCINE Nimekufa kwa Kunichukia Kwao. na kuwa na Husuda ( Wivu ) na Umaarufu wangu Usiozuilika hapa JamiiForums ila Mwenyezi Mungu ananipigania, ananilinda na ananibariki zaidi yao.
 
Naweza kuwa Chukizo Kwenu Wanadamu ila kwa Baba Mungu aliyeniiumba na anayenijua vyema kuliko Wanaonichukia na Kunionea Gere ( Wivu ) kwa Umaarufu wangu nikawa Msafi Kwake na Malaika wake tukuka.
Una nyota ya magufuli [emoji23][emoji23]
 
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.

Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
Mkuu GENTAMYCIME GENTAMYCINE achana na hawo wenye roho za korosho. Imeisha hiyo mwambaaaaaa.
1671984670640.png
 
Back
Top Bottom