Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apewe TUZO ya watumia UPINDE labdaGenta apewe tuzo
Ushaetani ni sifa yeyote anaweza kuwa nayo kama ana tabia ovu zilizopitiliza na kustahiki kuitwa hivyo.Mfano binadamu wanaowashawishi na kusababisha wenzao kusaliti familia zao ,kugombana ,kuacha ibada nk.Unaona sasa, unawaita mashetani viumbe walioumbwa na Mungu kama wewe kisa tu wanakukumbusha kuwa muadilifu. Halafu utegemee kupata hizo baraka? Ingekuwa bora ukabadilika kuanzia Christmas hii kwenda mbele.
Ondoa upuuzi wako. Akumente nini, matusi?nataka uwe menta wangu.pia nataka nijue wee wadini gani.
Jamaa mjivuni sana Mimi huwa namchukia sana pale anapowatukania mama members wenzake namuona punga lililokubuhuKuna watu nawachukia hii dunia wa kwanza ni yeye
Haha muambie anachojua kuhusu mimi ni kile tu ambacho nataka ajue kuhusu mimi.Kuna jamaa alikua ansema anakujua kwa jina la Daudi Mchambuzi Ila mapaka leo hajajua hua unachambua nini au wewe ni mchambuzi wa nini?!
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.
Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
Wewe kichwa dafuWe nae ni kichwa nazi
Sawa mkuu itakua ameshakusoma katika pitabpita zake humu,Haha muambie anachojua kuhusu mimi ni kile tu ambacho nataka ajue kuhusu mimi.
Naweza kuwa Chukizo Kwenu Wanadamu ila kwa Baba Mungu aliyeniiumba na anayenijua vyema kuliko Wanaonichukia na Kunionea Gere ( Wivu ) kwa Umaarufu wangu nikawa Msafi Kwake na Malaika wake tukuka.
Umeanza!!Nonsense.
Basi sawaSawa mkuu itakua ameshakusoma katika pitabpita zake humu,
Amina Kiongozi, Asante na Asanteni nyote.Huna tatizo na mtu tunaokupenda tumepigia kura.
Mzanaki ana mihasira utafikiri Mkurya, yaani akikosolewa kidogo reaction yake hadi unashangaa. Anyway, huwa namkubali sana.Wewe huna baya ndugu tatizo lako unajaa mihasira haraka
Ndio maana kina matola wasio jua kitu wametoka porini uko wanakutesa
Taarifa iwafikie Wanaonichukia na Kuumizwa na Karama pamoja na Baraka nilizopewa nae Mwenyezi Mungu wakiongozwa na OKW BOBAN SUNZU, Song of Solomon na Wengineo.Mkuu GENTAMYCIME GENTAMYCINE achana na hawo wenye roho za korosho. Imeisha hiyo mwambaaaaaa.
View attachment 2457998