Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.

Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
Ukishinda nakata rufaa. Kwanza imekuaje mtu mwenye lugha na matusi chukizo ukawa nominated. Moderators wangeongeza vigezo hata kama mtu kachangia sana, uadilifu wake pia uwe considered.
 
Ukishinda nakata rufaa. Kwanza imekuaje mtu mwenye lugha na matusi chukizo ukawa nominated. Moderators wangeongeza vigezo hata kama mti kachangia sana, uadilifu wake pia uwe considered.
Nguvu ya Mungu kwa aliyemchagua ( GENTAMYCINE ) kamwe haipingwi na Mashetani.
 
Kwa hii Post yako kuna Watu Wamenuna mpaka wanataka Kupasuka. Jiandae tu kuambiwa hii ID yako ni yangu kwani hopa JamiiForums kila ID inayonipenda na kunipongeza naambiwa ni zangu ila zile zinazonichafua sihusishwi nazo.
Hata sijali Kila mtu afate njia yake.
 
Poti hii code uliyoandika sio kwa wenye vichwa vyepesi, hawatoweza kuelewa kwani imebakia masaa machache shindano lifungwe.
Imebidi ni vote!
Ukibarikiwa Akili nyingi na Mwenyezi Mungu ni raha na amani sana Kiongozi.

Asante kwa yote na Ubarikiwe pia.
 
Hivi inakuwaje mnajenga uadui Kwa fake Id's? Mimi binafsi huichukukulia jf kuwa ni sehemu ya kuja kupotezea muda baada ya kazi ngumu ya kujitafutia riziki.

Japo pia huwa ni chanzo changu cha haraka kwenye breaking news na baadhi ya mambo mengine
 
Nguvu ya Mungu kwa aliyemchagua ( GENTAMYCINE ) kamwe haipingwi na Mashetani.
Unaona sasa, unawaita mashetani viumbe walioumbwa na Mungu kama wewe kisa tu wanakukumbusha kuwa muadilifu. Halafu utegemee kupata hizo baraka? Ingekuwa bora ukabadilika kuanzia Christmas hii kwenda mbele.
 
jenta wee nidini gani.?mbona unabarikiwa sana? nijibu tafazali.
 
Back
Top Bottom