Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Mimi siku zote sikuchukiii! Isipokuwa huwa ninachukizwa na baadhi ya taarifa zako za uzushi kuihusu timu yangu ya Yanga, lakini pia huwa nachukizwa na yale matusi yako ya nguoni unayotukana watu hovyo, pale tu unapokosolewa/unapotofautiana mtazamo na mtu mwingine.

Nje ya hapo, ni utani tu wa kawaida. Na katika hili nitakuwa muwazi daima; huo ushindi wako wa mchongo, siutambui. Mtu gani wewe unataka kusifiwa tu muda wote!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Huu ni mwanzo mzuri kwetu SIMBA SC kuelekea katika ubingwa wa ligi kuu na ule wa klabu bingwa.....

Hongera mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Basi washabiki wa utopolo watanuna kwa hii comment tu.
 
Back
Top Bottom