Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Aisee tutafuteni hela mazee, hii dezo haikusogezi popote mlamu…. sikujua kuna watu wapo siriazi namna hii.
 
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.

Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
mimi ni yanga pure na baadhi ya maandishi yako siyapendi kabisa lakini siungi mkono kabisa watu kukuchafua na nipo tayari kukusaidia dhidi ya wanaokuchafua
 
Hongera mkuu imeenda mahala husika
Asante na Asanteni mno nyote kwa Upendo wenu mkubwa, Imani yenu Kubwa Kwangu na kwa Kunichagua japo OKW BOBAN SUNZU kwa Chuki zake Kubwa Kwangu na Wivu wa Umaarufu wangu aliwahimiza Watu ( Members ) Walionipigia Kura waondoe huku akiwataka Wengine wasinipigie huku akinichafua Kwao na wampe niliyemtimulia Vumbi lakini Nguvu ya Mwenyezi Mungu anayempenda zaidi GENTAMYCINE ikafanya Kazi na Kuibuka Mshindi.
 
mimi ni yanga pure na baadhi ya maandishi yako siyapendi kabisa lakini siungi mkono kabisa wstu kukuchagua na nipo tayari kukusaidia dhidi ya wanaokuchafua
Asante, Amina na Ubarikiwe Kiongozi.
 
Ukibarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi na Mwenyezi Mungu ni lazima tu Mashetani na Wapumbavu Watakuchukia na pengine hata kutamani Ufe kabisa japo wamesahau kuwa wanaweza Kutangulia Wao.

Cc: Tate Mkuu, DeepPond
Mimi siku zote sikuchukiii! Isipokuwa huwa ninachukizwa na baadhi ya taarifa zako za uzushi kuihusu timu yangu ya Yanga, lakini pia huwa nachukizwa na yale matusi yako ya nguoni unayotukana watu hovyo, pale tu unapokosolewa/unapotofautiana mtazamo na mtu mwingine.

Nje ya hapo, ni utani tu wa kawaida. Na katika hili nitakuwa muwazi daima; huo ushindi wako wa mchongo, siutambui. Mtu gani wewe unataka kusifiwa tu muda wote!
 
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.

Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
Amina

Umeongea point sana mkuu
 
UMEPATA TSH NGAPI KWA KUSHINDA MWANASIMBA HOE HAE...MAANA SIMBA NI HOE HAE... HAWANA KITU MSIMU HUU KAMA ULIOPITA. NDO MAANA UNAJARIBU KUJIPENDEKEZA SANA KWETU YANGA.
 
Mimi siku zote sikuchukiii! Isipokuwa huwa ninachukizwa na baadhi ya taarifa zako za uzushi kuihusu timu yangu ya Yanga, lakini pia huwa nachukizwa na yale matusi yako ya nguoni unayotukana watu hovyo, pale tu unapokosolewa/unapotofautiana mtazamo na mtu mwingine.

Nje ya hapo, ni utani tu wa kawaida. Na katika hili nitakuwa muwazi daima; huo ushindi wako wa mchongo, siutambui. Mtu gani wewe unataka kusifiwa tu muda wote!
Hili ndo tatizo la huyu dogo. Anapenda sifa za kijinga. Akikosolewa anatukana mtu mpaka wazazi wa huyo mtu. Nadhani ana tatizo flani katika makuzi yake.
 
Mimi siku zote sikuchukiii! Isipokuwa huwa ninachukizwa na baadhi ya taarifa zako za uzushi kuihusu timu yangu ya Yanga, lakini pia huwa nachukizwa na yale matusi yako ya nguoni unayotukana watu hovyo, pale tu unapokosolewa/unapotofautiana mtazamo na mtu mwingine.

Nje ya hapo, ni utani tu wa kawaida. Na katika hili nitakuwa muwazi daima; huo ushindi wako wa mchongo, siutambui. Mtu gani wewe unataka kusifiwa tu muda wote!
Hili ndo tatizo la huyu dogo. Anapenda sifa za kijinga. Akikosolewa anatukana mtu mpaka wazazi wa huyo mtu.
 
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.

Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
 
Back
Top Bottom