Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna Logical and Direct connection gani na Mimi? Hongera kwa Kuitaja Brand ID yangu ya GENTAMYCINE Kiongozi wangu sawa?
Asante na Ubarikiwe sana kwa Kejeli.Wewe si popoma nashangaa kuona baadhi ya watu humu wanakuzushia
Thanks.Welcome back to the hood
Kwa hio GENTAMYCIME kukutaja ndio umekua brand?! Sawa mkuu, yule mpinzani wako Miss mia kala banHapa kuna Logical and Direct connection gani na Mimi? Hongera kwa Kuitaja Brand ID yangu ya GENTAMYCINE Kiongozi wangu sawa?
AZAM 2-3 YANGAKama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.
Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
Kwa akili yako ilivyo, kila mtu asiyekusifia humu jukwaani, basi ana chuki na wewe! Anakuonea wivu!! Kwa lipi hasa?Huchoki tu Kunijadili Kwako huku kwa Mabaya, Chuki na Wivu mkubwa dhidi yangu huku nikizidi Kufanikiwa na Kuchanja Mbuga katika Shindano?
Waionipigia Kura na Wanaendelea Kunipigia Kura ndiyo wanajua na wanaijua Thamani yangu ya uwepo wangu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums.
Asante Kwao na Mwenyezi Mungu awabariki kwa Upendo wao mkubwa Kwangu na kwa Kunithaminisha pakubwa hivi.
Hongera kwa Kuuma na Kupuliza sawa?Mzanaki ana mihasira utafikiri Mkurya, yaani akikosolewa kidogo reaction yake hadi unashangaa. Anyway, huwa namkubali sana.
Vv
Kwasababu Mimi ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer GENTAMYCINE.Kwa akili yako ilivyo, kila mtu asiyekusifia humu jukwaani, basi ana chuki na wewe! Anakuonea wivu!! Kwa lipi hasa?
Sikuchukii jamaa yangu,tupo pamoja, Kura zinapigwa wapi nikupe yangu!?...the most handsome, hardcore fuckerBaada ya Kunikashifu katika Post zako za awali na kuona hujafanikiwa Kunishusha na Kuathiri Kura zangu sasa unajifanya Kunipamba na Kunipaisha Kinafiki.
Mungu akusamehe na awasaheeni bure nyote mnaonichukia, mnaoniombea mabaya na kukerwa na huu Umaarufu wangu mkubwa wenye Baraka zote za Allah / Mungu Baba.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Hakuna swali mkuuKwasababu Mimi ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer GENTAMYCINE.
Una Swali lingine labda ili nikujibu pia?
Asante kwa Kunitukana hapo mwishoni Kiongozi na Ubarikiwe sana na zaidi kwa hilo Tusi.Sikuchukii jamaa yangu,tupo pamoja, Kura zinapigwa wapi nikupe yangu!?...the most handsome, hardcore fucker
Kwanini wanakuita POPOMA?Amina Kiongozi. Yote ni Mipango ya Mungu na Kuniheshimisha Kwenu.
Waswahili waliposema Kumpiga Teke Chura walikuwa na maana Kubwa, Dhahiri na Pana.
Asante Mwenyezi Mungu kwa Baraka.
NILIJUA WEWE UNAFURAHIA MATUSI KAMA UNAVYOTUKANA WATU HUMU, WEWE NI MTUKANAJI BORA WA MWAKA MTU MWENYE MDOMO MCHAFU ,UKISHINDA BASI HILI LITAKUWA JUKWAA LA MASHETANI,Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.
Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
Swali lako ungelielekeza kwa Moderators na siyo Mimi kwani Wao ndiyo wanna Uwezo wa kujua kama nina IDs Milioni hapa JamiiForums.Kwa hio GENTAMYCIME kukutaja ndio umekua brand?! Sawa mkuu, yule mpinzani wako Miss mia kala ban
Nasikia una ID zaidi ya 90 ya ukweli hayo au wanakupakazia?! Maana hata hii yangu unaweza ikawa moja ya ID zako
Cc: OKW BOBAN SUNZU
Huyo Mungu ni shemeji yako? Pamoja na matusi yako ya kishenzi Mungu awe upande wako kweli?Taarifa iwafikie Wanaonichukia na Kuumizwa na Karama pamoja na Baraka nilizopewa nae Mwenyezi Mungu wakiongozwa na OKW BOBAN SUNZU, Song of Solomon na Wengineo.
Nguvu ya Mwenyezi Mungu kwa ampendae na aliyembariki haizuiliki kamwe na Mashetani walioko / tulionao Duniani.
Wahenga waliposema Kumpiga Teke Chura ni Kumuongezea Mwendo wala hawakukosea.
Na Siku zote Ukimchukia na Kumuombea mabaya ambaye hajakukosea Mwenyezi Mungu hugeuza na kuwa Baraka Kwake.
Asanteni nyote mliochukua muda wenu Kunipigia Kura na wale ambao mtanipigia. Mmeniheshimisha na mnazidi Kuniheshimisha huku mkiwaambua tu Maadui zangu.
Thawabu za Mungu ziwe daima nanyi.
Hizo ni tetesi tu lakini inasemekana eti una ID zaidi ya 90 kweli sio kweli?!Swali lako ungelielekeza kwa Moderators na siyo Mimi kwani Wao ndiyo wanna Uwezo wa kujua kama nina IDs Milioni hapa JamiiForums.
Wala usiumie Kiongozi sitoshinda na atashinda umtakaye sawa? Wengine tulishabarikiwa na Mwenyezi Mungu tokea anatuumba hivyo unapoteza tu muda wako Kunichukia.NILIJUA WEWE UNAFURAHIA MATUSI KAMA UNAVYOTUKANA WATU HUMU, WEWE NI MTUKANAJI BORA WA MWAKA MTU MWENYE MDOMO MCHAFU ,UKISHINDA BASI HILI LITAKUWA JUKWAA LA MASHETANI,
Tafadhali rejea post yangu #117 niliyokujibu.Hizo ni tetesi tu lakini inasemekana eti una ID zaidi ya 90 kweli sio kweli?!
Kwasababu Nina Akili kuliko Waniitao.Kwanini wanakuita POPOMA?