Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

Tafadhali rejea post yangu #117 niliyokujibu.
Sihitaji mods wathibitishe hilo wewe unamtaja sana Mungu na una muogopa sana Mungu km unavyojinasibisha, sema mwenyewe hizi tetesi za kweli au sio za kweli kwamba wewe una ID zaidi ya 90?!
 
Sihitaji mods wathibitishe hilo wewe unamtaja sana Mungu na una muogopa sana Mungu km unavyojinasibisha, sema mwenyewe hizi tetesi za kweli au sio za kweli kwamba wewe una ID zaidi ya 90?!
Please refer my previous post #117 Ok?
 
Is it here at or here in?! Una miliki ID nyingi kuliko members wote humu acha nikae kando usije ukanijia na ID nyingine, sawa mkuu GENTAMYCIME
Nilijua Unawasiliana nami GENTAMYCINE kumbe unayemlenga hapa ni huyu Tapeli GENTAMYCIME aliyeiiga Brand ID yangu akijidanganya atasafiria Nyota yangu ya Kiumaarufu hapa JamiiForums? Basi sawa ngojeni niwaacheni nae.
 
Mkuu huu mshale wa saa unakuhusu wewe mwenye ID nyingi, unaweza ukawa GENTAMYCIME kwenye another ID mimi sijui
 
Mkuu huu mshale wa saa unakuhusu wewe mwenye ID nyingi, unaweza ukawa GENTAMYCIME kwenye another ID mimi sijui
Ushauri wa bure tu Kwako Kunywa Maji na Ukalale tafadhali au kama huna Usingizi kwa sasa tafuta Kitabu cha Mtunzi Ben Carson entitled Think Big nadhani kinaweza Kukusaidia na Kuuimarisha zaidi Ubongo wako Uliosinzia kwa sasa.
 
Yaan ushaanza kujipachika cheo cha kua mshauri wangu, unapenda vyeo wewe yaan unajitunuku cheo cha kua mshauri mshauri wa Mpetde alafu unajiita brand, sawa mkuu kua nzia leo uta kua msha uri wa ngu, umefura hi sasa?!

JF Fellas kuanzia leo GENTAMYCINE atakua mshauri wa Mpetde
 
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.

Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
Popoma rafiki yangu kabisaa.....
Lazima ushinde
 
Kama mnaombea hilo Poleni na Mtasubiri sana tu. Baada ya Kutofanikiwa katika Mkakati wenu wa Kunichafua ili Nisipigiwe Kura za Ushindi sasa mmehamia katika Kunichokoza kwa Makusudi mkitegemea nitapaniki na kuwajibuni hovyo ili mniripoti kwa Moderators nipigwe BAN mfurahie.

Nalindwa zaidi na Mwenyezi Mungu na nashukuru Mwenyewe hapa Umekiri kuwa nipewe Tuzo au nitapewa nikiwa Kifungoni. Asante kwa Kulitambua hilo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Cc: inamankusweke
Dah kweli shetani akizeeka anakuwa malaika
 
Back
Top Bottom