Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

Yuko wapi?? Msiba unatokea kwako mwnyewe haupo unakata mitaa licha ya kupigiwa simu mwanao kafariki,[emoji27]
Hapo ndio ile science ya akina mshana jr inatakiwa ifanye kazi wazee wa time travell
 
Utawapa pole marehemu kwani wao watakusikia?
 
hizo ndio dalili za uchawa na kukosa akili, yani mtu kafiwa na mke na mwingine mume ,ila pole anapewa hangaya anayehangaika china huko, only in Tz, kwanza ni aibu ndege inaanguka hakuna hata msaada, pili ndege inavutwa na kamba tena na watu sio mitambo loh!
 
Utaambiwa yeye ndo mfiwa No.1 wakati mpaka watu wanazikwa yuko zake abroad anakula bata.
 
...Samahani Mkuu Genta. Ni PLANE CRASH...na Sio PLANE CRUSH.!....
 
Yale yale ya mipango ya mungu.
Aisee sie blacks tuna ujinga mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…