Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

Yuko wapi?? Msiba unatokea kwako mwnyewe haupo unakata mitaa licha ya kupigiwa simu mwanao kafariki,[emoji27]
Hapo ndio ile science ya akina mshana jr inatakiwa ifanye kazi wazee wa time travell
 
Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini?

Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya Kuanza kutoa Pole kwa Wafiwa na Familia zao Wote wanaanza kumpa Pole Rais Samia.

GENTAMYCINE nikiletewa Microphone na Camera Kuzungumzia hii Ajali nitasema yafuatayo.....

"Natoa Pole zangu nyingi kwa Marehemu na Wafiwa wote huku nikimuomba Mwenyezi Mungu aziweke Roho zao mahala pema Peponi na nawaombea Nafuu Majeruhi wote. Hata hivyo lawama zangu nyingi na Tukuka nazipeleka kwa Rais wa Tanzania kwa Serikali yake Kushindwa kuwa na Vikosi imara vya Uokozi hasa katika Ajali na Majanga makubwa kama haya"

Nimemaliza.

Wapuuzi na Wanafiki wakubwa!!
Utawapa pole marehemu kwani wao watakusikia?
 
hizo ndio dalili za uchawa na kukosa akili, yani mtu kafiwa na mke na mwingine mume ,ila pole anapewa hangaya anayehangaika china huko, only in Tz, kwanza ni aibu ndege inaanguka hakuna hata msaada, pili ndege inavutwa na kamba tena na watu sio mitambo loh!
 
Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini?

Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya Kuanza kutoa Pole kwa Wafiwa na Familia zao Wote wanaanza kumpa Pole Rais Samia.

GENTAMYCINE nikiletewa Microphone na Camera Kuzungumzia hii Ajali nitasema yafuatayo.....

"Natoa Pole zangu nyingi kwa Marehemu na Wafiwa wote huku nikimuomba Mwenyezi Mungu aziweke Roho zao mahala pema Peponi na nawaombea Nafuu Majeruhi wote. Hata hivyo lawama zangu nyingi na Tukuka nazipeleka kwa Rais wa Tanzania kwa Serikali yake Kushindwa kuwa na Vikosi imara vya Uokozi hasa katika Ajali na Majanga makubwa kama haya"

Nimemaliza.

Wapuuzi na Wanafiki wakubwa!!
Utaambiwa yeye ndo mfiwa No.1 wakati mpaka watu wanazikwa yuko zake abroad anakula bata.
 
Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini?

Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya Kuanza kutoa Pole kwa Wafiwa na Familia zao Wote wanaanza kumpa Pole Rais Samia.

GENTAMYCINE nikiletewa Microphone na Camera Kuzungumzia hii Ajali nitasema yafuatayo.....

"Natoa Pole zangu nyingi kwa Marehemu na Wafiwa wote huku nikimuomba Mwenyezi Mungu aziweke Roho zao mahala pema Peponi na nawaombea Nafuu Majeruhi wote. Hata hivyo lawama zangu nyingi na Tukuka nazipeleka kwa Rais wa Tanzania kwa Serikali yake Kushindwa kuwa na Vikosi imara vya Uokozi hasa katika Ajali na Majanga makubwa kama haya"

Nimemaliza.

Wapuuzi na Wanafiki wakubwa!!
...Samahani Mkuu Genta. Ni PLANE CRASH...na Sio PLANE CRUSH.!....
 
Genta,huo ndio ukweli wenyewe.Pesa za kurusha kipeperushi Cha idadi ya watu, kwa helicopter zipo .Pesa za kuweka vifaa na kikosi imara cha uokoaji kwenye majanga hakuna.

Pesa za kununua mashangingi kwa ajili ya makada wa CCM wanaoitumikia serikali zipo,lakini za kujenga uwezo wa kuitikia dharula hakuna.

Halafu mkuu wa mkoa kwenye speech yake anasema watanzania wamuombe Mungu majanga kama haya yasitokee.

Huu ni ujinga wa hali ya juu na maneno yatokayo kwenye kinywa Cha asiyejali.

It is a simple fact kwamba as long as Kuna vyombo vya moto vinavyoendeshwa na wanadamu,ajali lazima zitokee.

Hivyo ni wajibu wa Serikali kuhakikisha rapid response team zipo kila mkoa ili kufanya uokoaji na sio kumuomba Mungu pekee .
Yale yale ya mipango ya mungu.
Aisee sie blacks tuna ujinga mwingi sana
 
Back
Top Bottom