Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha


Naona hujui unachosema unataka kutuaminisha kuwa Jeshi lote la Urusi linapigana na 30% ya askari wa Ukraine Kama ni hivyo basi Ukraine wana jeshi bora sana na Russia ni hovyo kabisa!!
 
Kuna majitu hayaelewi hivi jiulize kwanza hakuna hata destroyer moja iliyotumika unafikiri ikitumika itakuwaje au hamjui maana ya destroyer
 
Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga...
Maustadh mnalo...

View attachment 2393355
Unapovamia boma au nchi ya watu UJIPANGE kweli kweli siyo kuchukulia mambo kipoa poa tu.
Urusi hii vita itamuathiri sana sana sana. Mwisho watamnyonga Putin😁😂🤣😅
 
Serekali inavyotegemea misaada ya world bank, imf na wewe pia uko included
Kuna sehemu nimekuambia unategemea western handouts, kwa hiyo wewe unayeshabikia Russia ni kwa sababu unategenea Russian handouts mbona unafikra potofu hivyo na argument ya kijinga

Tumuamin Putin au wewe sababu Putin alisema anahitaji watu 300,000/= waende vitani na sio walinzi
 
Tupe na hali ya Russia ikoje kimàisha kwa raia wake
 
Na hiyo misaada inayopelekwa kila siku Ukraine imejumlishiwa wapi kwenye hiyo statistics?

Nimesema wakati vita vinaanza kabla misaada, Urusi ilikua kwenye nafasi ya kuparamia Ukraine kwa siku tano, ila kwa walivyo wachovu walichakazwa mbaya mno, na sasa Ukraine wana hizo silaha kama HIMARS ndio mchezo unazidi kunoga, wameishia kufuata wanywa gongo.
 
Tatizo una chicken mind. Inawezekanaje ukaamini marekani inajua exactly statistics ya silaha zinazimilikiwa na Russia
 
Tatizo una chichen mind. Unawezekanaje ukaamini marekani inajua exactly statistics ya silaha zinazimilikiwa na Russia

Urusi huanika mavitu yake na mikwara mingi kumbe useless tu....
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unapovamia boma au nchi ya watu UJIPANGE kweli kweli siyo kuchukulia mambo kipoa poa tu.
Urusi hii vita itamuathiri sana sana sana. Mwisho watamnyonga Putin[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji28]
Nyonga kabisa hiyo trash PUTIN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…