Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Mkuu asili mia 70% ya wanajeshi wa Ukraine wamekwisha uwawa na jeshi la Urusi so far, Zelensky anacho fanya hizi sasa ni kuwalazimisha half cooked vijana na wazee kwenda kupigana endless futile counter offensive ambao mara zote wanapigwa vibaya sana na jeshi la Urusi lakini Zelensky anaendelea ku-sacrifice wanajeshi vijana kuwafrahisha Wamerikani - Zelensky ni mtu katiri sana ajali kabisa Waukreini wenzake hata wakifa mamillion yeye anaona SAWA tu.
Naona hujui unachosema unataka kutuaminisha kuwa Jeshi lote la Urusi linapigana na 30% ya askari wa Ukraine Kama ni hivyo basi Ukraine wana jeshi bora sana na Russia ni hovyo kabisa!!