Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Kwenye huu Uzi sidhani kama kuna mtu ashafika KIJAKA,PEMBAMNAZI,NGOMA MAPINDUZI,MKAMBA, BUYUNI, MWASONGA
Pemba mnazi nimepanga nifike siku moja mwezi huu unaokuja,

Mwasonga Kuna delivery kibao kule lkn nashindwa kwenda na mtu wa bajaji

Ila nitajitahidi,

Buyuni wapo na gari zao kama za mkoani miaka ile ya 2010,

Kulikobaki nakusikia leo
 
Hilo eneo kitambo liko na magofu,tokea mkoloni Acha wapajenge humo kulikuwa na magneto ya wahuni wanakaa

Ova
Kibarabara chenyewe chembamba hicho, acha tuone wanajenga nini? Wasiweke sheli tu!
 
Yeah yani mimi napenda sana kusafiri kwanza nikikaa sehemu moja muda mrefu huwa najihisi kuumwaumwa, na mkoa wowote nitakaoenda hata kama ni kikazi lazima nitatafuta kivutio chochote kwenye huo mkoa nikakitembelee, wabongo wengi naona hatupendi kusafiri sijui kwanini ndio maana wengi exposure ni tatizo
 
Pemba mnazi nimepanga nifike siku moja mwezi huu unaokuja,

Mwasonga Kuna delivery kibao kule lkn nashindwa kwenda na mtu wa bajaji

Ila nitajitahidi,

Buyuni wapo na gari zao kama za mkoani miaka ile ya 2010,

Kulikobaki nakusikia leo
Pemba mnazi ujipange NI kama unaenda mkoani, mwasonga bajaji bado wanacosta zao wanapanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…