comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hahahahaa, mpaka Muha mpaji Mungu unamjua?? Unamjua Nobe? Tije? Hao ndio baadh ya matajiri WA mwasonga wakiongozwa na tajiri DiwaniHii list yako bila kuitaja kigobedi na magodani haijakamilika.
Msalimie tajiri wa maduka mpaji ni mungu hapo mwasonga.
πKwa mparange, nasikia kuna tope balaa, hakuendeki.
King'ibedi hiyo ndan ndan huko Sana mzeeHii list yako bila kuitaja kigobedi na magodani haijakamilika.
Msalimie tajiri wa maduka mpaji ni mungu hapo mwasonga.
Kuna gari zina keria juu kama zinaenda mkoani, hizo za BUYUNI ndio za Pemba mnazi, ukifka BUYUNI kwenda Pemba mnazi Kwa pikpik haizid 3000, safari ndefuNikitokea Ferry napand gari za kwenda wapi mkuu π€
Wangepiga mkeka ingekuwa afadhaliPemba mnazi ujipange NI kama unaenda mkoani, mwasonga bajaji bado wanacosta zao wanapanda
Kule Kwa mkeka itachukua MDA, kibada to mwasonga tuu bado ndio wanahangaika napoWangepiga mkeka ingekuwa afadhali
Ova
Uko sahihi,Dar ni mji mdogo sana kama kuna sehemu hujafika ni swala la uvivu tu...Hakuna sehemu sijafika Dar, ilivyo ndogo hivi unakosaje kuitembea
Maana ukitoka ferry kwenda puna,yale ni kama km 39 sasa malizia pemba mnaziKule Kwa mkeka itachukua MDA, kibada to mwasonga tuu bado ndio wanahangaika napo
Fanya uje sasa πππ
Wakati nakuwa huko kulikuwa kama kijijini kwetu, Maana asilimia kubwa ya ndugu walikuwa wanaishi kule! Ilikuwa ukienda Mosque unatoka nyumba hadi nyumba. Kwa kweli kilikuwa kijiji ndani ya Jiji!Nishatembea dar nzima kuna sehem inatwa kinondon moscow mtoto mdogo miaka 6 ana rista msela anavuta bangi kinondob shamba bang kama sigara watu wanapita mtaan huku wanavuta dar yote nimeimaliza
Kimbiji kwenda mbeleKibada π
Kule mji una kuaaKimbiji kwenda mbele
Mungu nifundishe kunyamazaFanya uje sasa πππ
Ulienda Goba ukapita Makongo juu ?Viunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika?
Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
.
- Chanika
- Chamazi
- Makongo juu
- Kivule
- Kiwalani
- Yombo vituka
- Mabwepande
- Mburahati
View attachment 3400445
View attachment 3400458
View attachment 3400447
View attachment 3400478
View attachment 3400449
Halafu huko Tandika kaburi moja unakabwa mchana kweupe barabarani, maana wanajua kabisa huyu sio wa hapa....Huku unaeza kukabwa
Mgeni unajukikana ,na wao wanajuanaHalafu huko Tandika kaburi moja unakabwa mchana kweupe barabarani, maana wanajua kabisa huyu sio wa hapa....
Vibaka wa siku hizi wamekuwa wajanja sio tena mateja, ni bangi na mazoezi, wako fiti kweli wengine wanacheza boxing halafu usiku kazini...Mgeni unajukikana ,na wao wanajuana
Kuna wakati nilingiliaga kijaka kuitafuta mkuranga (kisiju)Pemba mnazi ujipange NI kama unaenda mkoani, mwasonga bajaji bado wanacosta zao wanapanda
Kuna kunakuaga vilevile sijui shida ninMaana ukitoka ferry kwenda puna,yale ni kama km 39 sasa malizia pemba mnazi
Huko mwasonga bado sana ile njia
Ova